Mwanza yazizima mapokezi ya Magufuli

Mwanza yazizima mapokezi ya Magufuli

Ndege ya Serikali mgombea wa Ccm nchi ya kijinga hii.
 
Na kweli kulizizima ngoja siku ukawa wakitua mtaona kutakavyo lindima
 
Ukilinganisha na umati wa mbunge wa nyamagana alipokwenda kuchukua fomu ni yupi aliuwa na watu wengi?
Sijui sababu sikwenda lakini mimi impact iliyonipata ni kuchelewa nilikokuwa nakwenda sababu eti huyu waziri yupo mjini.., kwakweli amenitia hasira sana..., kwanini afunge barabara kama huku sio kutumia madaraka vibaya ni nini ? Kwakweli kama ni hivi na asije tena .....
 
Back
Top Bottom