Mwanza yazizima mapokezi ya Magufuli

Mwanza yazizima mapokezi ya Magufuli

Ccm mbona mnajihami kwa kuanza kampeni mapema! Mnabadili makocha tu wachezaji walewale waliochoka.. Wtz tunahitaji madiliko tumechoshwa na mashaili ya ccm
 
Hata Diamond alipata watu zaidi

Kilichotokea ni Kero tu kwa wananchi kwa huyu waziri wa kawaida kufunga barabara na kuwekewa ulinzi wa hatari hence watu kuchelewa kwenye hamsini zao..

Bora afanye haraka aondoke hizi kero kwa wananchi zinawapunguzia kipato na kuwapotezea muda...., Sijui anasimamisha magari na kufunga barabara yeye kama nani ?
 
Ajabu ni kwamba Uzi huu wa MTU maarufu una kurasa tatu tu ilhali ule wenye Habari ya madiwani wa monduli unafika ukurasa wa 60 sasa.!
 
Dah, nimeona nyomi ni shiiiiiiiida. Ni soooooooo!
 
Kweli watu awampend magufuri mgombea uraisi anakuwa watu wachache kiasi hichi wanachangia topic aibu
 
Hivi ndege aliyotumia kwenda Mwanza ni ya serikali au ni ya CCM?
 
CKNJBh5VAAE5L7w.jpg:large

Nimetumiwa hii picha na nimeambiwa ilikuwa inabidi asimame barabarani ili kuongea maneno mawili matatu na wananchi waliokuwa wanalizuia gari lake.

Kwa nini hawa wapinzani hawataki kuelewa kama hili jembe ndo rais wao?
 
kunakua na waraka wa kulazimisha watumishi kama kule songea. alijua hapati watu akagairi na kwenda kushangilia Gor badala ya yanga nimemmaindi sana
 
Ni Simba damu huyu, hawezi enda poteza mida kwa yanga!
Sidhani kama ni ushabiki wa kitimu, maana yeye ni mwanasiasa na anatafuta kura. Nafikiri akili imewarudia kuona kuwa wanaiingiza TFF kwenye matatizo ya kisiasa! Waliofanya maamuzi hiuo awali hawakutumia busara
 
Hata Diamond alipata watu zaidi

Kilichotokea ni Kero tu kwa wananchi kwa huyu waziri wa kawaida kufunga barabara na kuwekewa ulinzi wa hatari hence watu kuchelewa kwenye hamsini zao..

Bora afanye haraka aondoke hizi kero kwa wananchi zinawapunguzia kipato na kuwapotezea muda...., Sijui anasimamisha magari na kufunga barabara yeye kama nani ?
Ukilinganisha na umati wa mbunge wa nyamagana alipokwenda kuchukua fomu ni yupi aliuwa na watu wengi?
 
karibu rais wetu kanda ya ziwa nyumbani ni nyumbani tuko na wewe katika safari yako,
 
Ukilinganisha na umati wa mbunge wa nyamagana alipokwenda kuchukua fomu ni yupi aliuwa na watu wengi?

wenje hakuzuiwa barabarani kama nilinyoona magufuli watu wafunga barabara ili aonge nao kazi ipo,
 
Back
Top Bottom