MWANZA: Waziri wa KIlimo avunja Bodi ya chama cha Ushirika(NCU)

Pistol

Senior Member
Oct 13, 2015
194
86
tizabe.jpg

Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi Charles Tizeba amevunja Bodi ya chama kikuu cha ushirika cha Nyanza (NCU 1984) na kumuagiza msajili wa vyama vya ushirika nchini kusitisha ajira ya Meneja mkuu na Mwenyekiti wa chama hicho pamoja na wasaidizi wake watatu wa mikoa ya Mwanza, Simiyu na Geita.

Chanzo: ITV
 
Kwakweli bora wamesimamishwa, na tunaomba wachukuliwe hatua za kinidhamu kkwani wameendelea kuliuwa kabisa ilo shirika, na walikuwa wanalitumia kwa manufaa yao binafsi wamekuwa wakitumia hati za majengo ya shirika kuchukulia mikopo mikubwa pasipo kurejesha iyo mikopo, mwisho wa siku mabenki wanataka kuitaifisha Mali za shirika zikiwemo majengo yao.
 
Kuvunja, kubomoa, kutumbua n.k hivi watajenga au wataunda lini jamani????
 
View attachment 366497
Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi Charles Tizeba amevunja Bodi ya chama kikuu cha ushirika cha Nyanza (NCU 1984) na kumuagiza msajili wa vyama vya ushirika nchini kusitisha ajira ya Meneja mkuu na Mwenyekiti wa chama hicho pamoja na wasaidizi wake watatu wa mikoa ya Mwanza, Simiyu na Geita.

Chanzo: ITV
Ni MRAJISI wa vyama vya ushirika na si MSAJILI
 
View attachment 366497
Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi Charles Tizeba amevunja Bodi ya chama kikuu cha ushirika cha Nyanza (NCU 1984) na kumuagiza msajili wa vyama vya ushirika nchini kusitisha ajira ya Meneja mkuu na Mwenyekiti wa chama hicho pamoja na wasaidizi wake watatu wa mikoa ya Mwanza, Simiyu na Geita.

Chanzo: ITV

Kwa nini wasije na huku kilimanjaro maana kuna miungu wa tu mali za umma watu wanakopia fedha benk halafu wanasema pesa zilikopwa kwa ajili ya chama ,na lazima ardhi iuzwe ili kufidia ,watu wanamahekela kila sehem , shamba kama la kibohehe ,limekuwa kama shamba la mtu binafsi,
 
Bodi ya Pamba ndio bibi wa matatizo yote haya, ingefaa nayo ivunjwe na kuunda chombo kipya
 
Ila jamani tukiacha utani management na watumishi wa kawaida wengi sana waliopata kufanya kazi huko Nyanza Cooperative Union walipiga pesa sana tangu miaka hiyo. Yaani Nyanza kufilisika ilikuwa ni lazima. Hata mkulu analijua hilo kwani aliwahi kufanya kazi hapo Nyanza.
 
Bodi za kuvunja bado ni nyingi jamani. Waziri wa Elimu akiangalia wajumbe wa Bodi ya Chuo cha Ufundi Arusha na akipata taarifa za ufisadi uliofanyika, ni haki kabisa avunje Bodi ya Chuo
 
Bodi za kuvunja bado ni nyingi jamani. Waziri wa Elimu akiangalia wajumbe wa Bodi ya Chuo cha Ufundi Arusha na akipata taarifa za ufisadi uliofanyika, ni haki kabisa avunje Bodi ya Chuo
7640_10153996847952487_1296214619587581403_n.jpg
 
Back
Top Bottom