jiwekuu770
JF-Expert Member
- Feb 12, 2015
- 2,246
- 1,646
Mimi nna gari zangu nakodisha, upo serious mkuu?
Mkuu kwa nini usitulie nyumbani? Covid imeshika kasi na kupamba moto wewe ndio kwanza unazurura hata kama ni kijana una kinga madhubuti huwaonei huruma wazee wako na wengine?
Why black men @$$es are not adhesive?
Stay home bana and save lives.
Kuna gari zangu mbili zipo pale makoroboi nazikodisha cc elitwege cc Etwege hizi gari unatakiwa uzipande mgongoni
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Hheeeh
Watajua nini kweliNahitaji gar za kupigia misele au shughuli zangu za hapa mjini
Sasa kwa mwanza ni wapi wanakodisha
Bei kwa siku zikoje
??
Try to stick your @$$ in one place.Korona ipi mkuu???....ugonjwa wa wazungu huo!!!
Nenda RockCity mall pale kuna kampuni inaitwa TanzTravel wako floor ya pili wing D, bei zao ni affordable,Nahitaji gar za kupigia misele au shughuli zangu za hapa mjini
Sasa kwa mwanza ni wapi wanakodisha
Bei kwa siku zikoje
??
Mkuu teza hauiuzi?Nina gari 3 naweza kukusaidia uweke tu mafuta .
Vietii
Vitz na alteza chagua moja
Vitz na alteza kukodi per day pesa ngapNina gari 3 naweza kukusaidia uweke tu mafuta .
Vietii
Vitz na alteza chagua moja
Nina gari 3 naweza kukusaidia uweke tu mafuta .
Vietii
Vitz na alteza chagua moja