Mwanza: Wanaodaiwa kusafirisha dhahabu wapandishwa kizimbani, wasomewa makosa 7

Fuatilia mada zangu hapa jf.
Hata tano tu utaondoa shaka ulionayo

Sent using Jamii Forums mobile app
 


Makosa 7 ndiyo yanakutisha
Mbona hayo ni kidogo sana?
coz nakumbuka mwaka jana
mdogo wake Rostam Aziz alisomewa makosa 72



Hahaha
Nadhani sasa hivi atakuwa nyumbani kwake anatazama tv

tafuta hela tu!

 
Hizo milioni 700 walizotangulia kuhongwa mmezipata?

Sent using Jamii Forums mobile app
Ila mkuu point hapa ni kuwa wapo askari ambao wakigumia deal wanachkua mpunga iwe mdogo au mkubwa
Ila kwa issue ya dhahabu bado hatujajua ukweli ni upi!
Ila kwa askari kuchukua mpunga kwao ni kawaida maana hakuna watu wanaotakaga maisha mazuri kama maskari

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata ingekua wewe unaishi kwenye nyumba za mabati za msongamano na kazi ni ya jaramba kama unavyoifahamu na mshahara ukiingia nao baa asubuhi haufiki saa nne.... kwanini usivute mpunga??
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wafungwe maisha hao,wenzao wanajiongeza hata kufanya issue nyingine kama bodaboda wao wamafanya deal haramu? Nasema wafungwe na kazi nzito juu yao,halafi hapo wengine wao wameshawabambikia watu kesi kibao,nasema wafungwe chap!!!)
 
Ni matokeo ya ubovu unaotumika kuwapata waajiliwa. Wengi walishavuta na kukolea bangi kabla ya ajira. Ghafla watu hao unawaamini, unawapa siraha na wanashuhudia heshima ambayo hawakuitegemea, yaani kuogopwa.
 
Baada ya kuwatosa hao lupango unaamini kwamba maisha ya Askari yatakuwa yameboreshwa kikipato na tutaepukana na ukabaji wao? Asipokupiga sachi wa depo kwenye eneo la tukio,zingine utakutana nae barabarani na kigari chako anakupa za uso, many Tz cops Ni wezi sababu ya uduni wa maisha.
 
Nchi kama 4
Swali kwanini walitaka kuwapa polisi hela hao?au ilikuwa hela ya ulinzi?
Hebu niweke Sawa tatizo ni nini

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…