Paul Alex
JF-Expert Member
- Jul 14, 2012
- 4,239
- 9,527
Fuatilia mada zangu hapa jf.Ww pia ni askari na ndo maana kuongea na ww tukaelewana ni ngumu ,ujue ya kuwa nyie askari japo siyo wote huwa mnaona ya kuwa nyie ni untouchable mpo huru kufanya chochote bila kuwajibishwa.
Kwahy ww huwezi kuona ouvu wa askari wenzako,hapo ni kesi ya nyani kumpelekea tumbili!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata tano tu utaondoa shaka ulionayo
Sent using Jamii Forums mobile app