Alexander The Great
JF-Expert Member
- Aug 28, 2018
- 4,502
- 23,581
Ukiangalia picha za hizo dhahabu, zina mihuri ya serikali, zikiashiria zimenunuliwa kihalali. Na hisi kosa lao ni kusafirisha bila ESCORT, yatakua yale yale ya Diamond Petra (Watu wanavibali halali ila wanataifishwa kwa nguvu).Kazi IPO. But natamani kupata story upande wa pili wa watuhumiwa walikuwa wanatosha dhahabu. Isije ikawa kama habari za mwadui diamondi yaani alimasi zinakamatwa airport huku wanavibali vyote vya kuafirisha vilivyotolewa na serikali. Awamu hii ni ya kuitilia mashaka kilajambo inalofanya. Maana haiaminiki kabisa.
Sent using Jamii Forums mobile app