Mwanza: Wanaodaiwa kusafirisha dhahabu wapandishwa kizimbani, wasomewa makosa 7

Ww pia ni askari na ndo maana kuongea na ww tukaelewana ni ngumu ,ujue ya kuwa nyie askari japo siyo wote huwa mnaona ya kuwa nyie ni untouchable mpo huru kufanya chochote bila kuwajibishwa.

Kwahy ww huwezi kuona ouvu wa askari wenzako,hapo ni kesi ya nyani kumpelekea tumbili!

Sent using Jamii Forums mobile app
Fuatilia mada zangu hapa jf.
Hata tano tu utaondoa shaka ulionayo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
f7e069acad146027b9d1508025847f72.jpg


Makosa 7 ndiyo yanakutisha
Mbona hayo ni kidogo sana?
coz nakumbuka mwaka jana
mdogo wake Rostam Aziz alisomewa makosa 72

cf7671bf2f358e3aac6eacf210b8024f.jpg


Hahaha
Nadhani sasa hivi atakuwa nyumbani kwake anatazama tv

tafuta hela tu!

a20adfa9c359e96b97699a17a4e6ae2f.jpg
 
Hizo milioni 700 walizotangulia kuhongwa mmezipata?

Sent using Jamii Forums mobile app
Ila mkuu point hapa ni kuwa wapo askari ambao wakigumia deal wanachkua mpunga iwe mdogo au mkubwa
Ila kwa issue ya dhahabu bado hatujajua ukweli ni upi!
Ila kwa askari kuchukua mpunga kwao ni kawaida maana hakuna watu wanaotakaga maisha mazuri kama maskari

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata ingekua wewe unaishi kwenye nyumba za mabati za msongamano na kazi ni ya jaramba kama unavyoifahamu na mshahara ukiingia nao baa asubuhi haufiki saa nne.... kwanini usivute mpunga??
Ila mkuu point hapa ni kuwa wapo askari ambao wakigumia deal wanachkua mpunga iwe mdogo au mkubwa
Ila kwa issue ya dhahabu bado hatujajua ukweli ni upi!
Ila kwa askari kuchukua mpunga kwao ni kawaida maana hakuna watu wanaotakaga maisha mazuri kama maskari

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wafungwe maisha hao,wenzao wanajiongeza hata kufanya issue nyingine kama bodaboda wao wamafanya deal haramu? Nasema wafungwe na kazi nzito juu yao,halafi hapo wengine wao wameshawabambikia watu kesi kibao,nasema wafungwe chap!!!)
 
Mkuu ww ni mkazi wa Mwanza au ulishawahi kufika mwanza?

Baadhi ya askari police mwanza wanafanya kazi zao kama walivyo vibaka,wakikukamata ni mwendo wa jeki huku una pigwa sachi ya maana ukicheza wanaondoka hadi ma suruali unabaki na boksa.

Mengine ngoja tuiachie mahakama ila itabidi nikacheki sura zao maana kuna mmoja huyo akiondoka na wallet yangu bila kujari kuwa wallet inabeba vingi ikiwemo vitambulisho.


JPM hakika ww ni mtenda haki bila kujari cheo cha mtu,asante raisi wangu!

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni matokeo ya ubovu unaotumika kuwapata waajiliwa. Wengi walishavuta na kukolea bangi kabla ya ajira. Ghafla watu hao unawaamini, unawapa siraha na wanashuhudia heshima ambayo hawakuitegemea, yaani kuogopwa.
 
Hao askari ngoja wakione cha mtema kuni,baadhi ya askari mwanza ni majambazi ukitaka kuona hilo ww kamatwa hata umechekewa kdg usiku uone wanavyo sachi mifuko yote na kuondoka na kila kitu..


Safi sana mheshimiwa raisi wetu wa jamhuri ya muungano wa Tanzania,hakika ww ni raisi wa wanyonge!

Sent using Jamii Forums mobile app
Baada ya kuwatosa hao lupango unaamini kwamba maisha ya Askari yatakuwa yameboreshwa kikipato na tutaepukana na ukabaji wao? Asipokupiga sachi wa depo kwenye eneo la tukio,zingine utakutana nae barabarani na kigari chako anakupa za uso, many Tz cops Ni wezi sababu ya uduni wa maisha.
 
Mkuu nikutoe wasiwasi!!
Hao wafanyabiashara nawajua kitambo sana.
Nadhani wana uzoefu wa biashara ya dhahabu wa takribani miaka 20.
Ofisi na makazi yao yako Geita.

Kwa ufahamu wako, Geita imepakana na nchi ipi jirani?

Sent using Jamii Forums mobile app
Nchi kama 4
Swali kwanini walitaka kuwapa polisi hela hao?au ilikuwa hela ya ulinzi?
Hebu niweke Sawa tatizo ni nini

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom