Startv live::::sourceMkuu watuacha Hewani umetoa wapi taarifa
Sioni Sababu ya kwanini wasihamie CCM maana ni haki yao kama ilivyo haki Kwa Wema kujiunga na CDMCHADEMA YAPATA PIGO KUBWA MWANZA
Uongozi mzima wa CHADEMA wilaya ya Ilemela mkoani Mwanza Leo umekihama chama hicho na kujiunga na CCM, sababu ni uamuzi wa juu wa CHADEMA kumpokea Wema Sepetu kujiunga na CHADEMA.
Viongozi 15 wilaya ya Ilemela akiwemo Mwenyekiti wa chama hicho Damas Kimenyi, kujiunga CCM. Wamshutumu Freeman Mbowe (Mwenyekiti Taifa CHADEMA) kwamba anaunga mkono matumizi ya dawa za kulevya nchini.
Hayo ni maneno ya mkoswaji nani asiyejua kuwa ccm wameumizwa sana na kitendo cha wema kuwakimbia?kimenyi yule mwehu mchumia tumbo mbona hayupo chadema miaka mingi alifukuzwa kwa usaliti pumbavu yuleCHADEMA YAPATA PIGO KUBWA MWANZA
Uongozi mzima wa CHADEMA wilaya ya Ilemela mkoani Mwanza Leo umekihama chama hicho na kujiunga na CCM, sababu ni uamuzi wa juu wa CHADEMA kumpokea Wema Sepetu kujiunga na CHADEMA.
Viongozi 15 wilaya ya Ilemela akiwemo Mwenyekiti wa chama hicho Damas Kimenyi, kujiunga CCM. Wamshutumu Freeman Mbowe (Mwenyekiti Taifa CHADEMA) kwamba anaunga mkono matumizi ya dawa za kulevya nchini.
Kama huna uhakika umeileta ya nini?.Ungetumia busara kutafuta ukweli na kujiridhisha kisha ndiyo uilete hapa.Mi naomba kuuliza hizo habari nimezipata sehemu naomba kujuzwa zina ukweli ndani yake mana naona chama linaelekea pabaya kama ni kweli
CCM mna vituko sana, Kwani WEMA SEPETU aliwahi kuhukumiwa na mahakama yeyote ile duniani kwa kesi ya kuhusika na madawa ya kulevya?
Wabongo ni balaa!!!!Mbona sababu yakujitoa naiona haina mashiko sana
Ivi unawezaje kusema wamepata pigo kwa kuondoka watu 15 huku wameongezeka zaidi ya 200? .CHADEMA YAPATA PIGO KUBWA MWANZA
Uongozi mzima wa CHADEMA wilaya ya Ilemela mkoani Mwanza Leo umekihama chama hicho na kujiunga na CCM, sababu ni uamuzi wa juu wa CHADEMA kumpokea Wema Sepetu kujiunga na CHADEMA.
Viongozi 15 wilaya ya Ilemela akiwemo Mwenyekiti wa chama hicho Damas Kimenyi, kujiunga CCM. Wamshutumu Freeman Mbowe (Mwenyekiti Taifa CHADEMA) kwamba anaunga mkono matumizi ya dawa za kulevya nchini.
source
CHADEMA YAPATA PIGO KUBWA MWANZA