Juma wa Juma
Senior Member
- Jan 13, 2017
- 150
- 221
CHADEMA YAPATA PIGO KUBWA MWANZA
Uongozi mzima wa CHADEMA wilaya ya Ilemela mkoani Mwanza Leo umekihama chama hicho na kujiunga na CCM, sababu ni uamuzi wa juu wa CHADEMA kumpokea Wema Sepetu kujiunga na CHADEMA.
Viongozi 15 wilaya ya Ilemela akiwemo Mwenyekiti wa chama hicho Damas Kimenyi, kujiunga CCM. Wamshutumu Freeman Mbowe (Mwenyekiti Taifa CHADEMA) kwamba anaunga mkono matumizi ya dawa za kulevya nchini.
======
UPDATE:
Taarifa hii imekanushwa na CHADEMA. Kanusho hilo linasema kuwa waliohama si viongozi kama ilivyoelezwa bali waliondolewa madarakani miezi miwili iliyopita.
Soma => CHADEMA Mwanza wakanusha kuhusu viongozi wake kuhamia CCM