Mwanza: Tundu Lisu ndani ya viwanja vya Magomeni

Asante mkuu kwa taarifa.Tafadhali tujuze kila kinachoendelea.Vipi umati wa watu ukoje?
 
Mkuu usihofu dakika kama 10 zijazo msafara unaanza tokea pale mahakama ya rufaa mitaa ya posta ya zamani, wengine tupo hapa viunga vya mitaa ya nera tukiwasubiri makamanda wetu tayari kwa kuelekea magomeni, watu nijadi yetu kaka natangu juzi hii ndo ilikuwa touching issue kwa wana mwanza sehemu zote
 
Ndo tunaelekea eneo la tukio mambo ya kianza nitawapa taarifa
 
huyu atavuna aibu ya mwaka. watu washabadilika baada ya kugundua kwamba hiki ni chama cha watu wenye vurugu
 
Asante mkuu kwa taarifa.Tafadhali tujuze kila kinachoendelea.Vipi umati wa watu ukoje?

Kuna kamata kamata kali sana ya pkiki tangu leo asubuhi inafanywa na tra pamoja na polisi hope ni mbinu nyingine ya magamba kuzoofisha mkutano wa kamanda lisu ili kusitiri aibu aliyoipata nape na kina mwigulu wake ila hajaathiri kitu vijana wan morali ya kufa mtu ila nape kisha kimbia jiji long time yuko pande za buselesele na yarugusu mkoani geita, na kule hali nitete kapokewa na mabango yanayomtaka magamba wa mrejeshe mwenyekiti wa halmashsuri ya geita aliyetimuliwa na madiwani wa ma gamba kisa yuko ant ufisadi nyarugusu napo watu wameshusha bendera ya ccm na kuichoma moto then wakapandisha ya chadema, kisa wamechoka na magamba
 
huyu atavuna aibu ya mwaka. watu washabadilika baada ya kugundua kwamba hiki ni chama cha watu wenye vurugu

Unaombea kuvuna aibu kama iliyomkuta jana Fisadi Kikwete? Basi nakuomba uombe sana na wala sijui sala yako kama Mungu ataisikiliza, Nakupa Pole.
 
Huyu mze sifa zitamponza. Matatizo ya jimbo lake anayatatua muda gani?..

2015 sio mbali.
 
Kitu nilichokigundua humu jamvini 99% wanaoipinga Chadema ni CUF na wala si CCM. Sijui ndo kusema wanataka waonekane wanauchungu sana na Mume wao au vipi!
 
Tuta kumwagia kila kitu hapa jamvini jeni utajaza mwenyewe na masaburi yako

Mkuu Ng'wana Sweke achana naye huyo!! Vipi samaki wa kuchoma bado wanapatikana maeneo ya sokoni? Nimewamiss sana mkuu. All the best makamanda wote mliopo mwanza, mi viunga vyangu huwa ni bugando bugarika kwa wenje. Narudi 2015 kukamata kata ya Pamba kupitia CDM.
 
Kitu nilichokigundua humu jamvini 99% wanaoipinga Chadema ni CUF na wala si CCM. Sijui ndo kusema wanataka waonekane wanauchungu sana na Mume wao au vipi!

kama ulikuwepo, nimeshaliona hilo siku nyingi sana
 
Kuna kamata kamata kali sana ya pkiki tangu leo asubuhi inafanywa na tra pamoja na polisi hope ni mbinu nyingine ya magamba kuzoofisha mkutano wa kamanda lisu ili kusitiri aibu aliyoipata nape na kina mwigulu wake ila hajaathiri kitu vijana wan morali ya kufa mtu ila nape kisha kimbia jiji long time yuko pande za buselesele na yarugusu mkoani geita, na kule hali nitete kapokewa na mabango yanayomtaka magamba wa mrejeshe mwenyekiti wa halmashsuri ya geita aliyetimuliwa na madiwani wa ma gamba kisa yuko ant ufisadi nyarugusu napo watu wameshusha bendera ya ccm na kuichoma moto then wakapandisha ya chadema, kisa wamechoka na magamba

mkuu unaripoti vizuri sana,wanaJF leo watashiba habari.Matukio yakianza kama ukiweza na Picha itapendeza zaidi.
 
Sasa mbona kaenda kufanyia mkutano Magomeni mwaloni sehemu ndogo..

Kwa nini wasifanyie Furahisha au Sahara au Mirongo au wanahofia kukosa watu, wamemeamua wakafanyie kwa wauza dagaa!
 
Nipo mwanza..but nipo kiproffessional zaidi. Ngoja nimalizane na hapa PPF then niende kusikiliza hizo pumba za huyu jamaa. Sijui ataanzisha tena maandamano!!
 
wewe ni Jini? Si ulisema uko Arusha kwenye kesi ya wakombozi? Umeshafika tena Mwanza
 
Back
Top Bottom