Mwanza: The Cask yawaka moto

Sk cotton
 
Hii thread ilipanga kutoa taarifa na kudiscuss uhalisia wa Fire.. ila kwa uchawa wa Tanzania wanaleta ujuaji sana wa mmiliki wa bar.
Bar kama Cask kuungua na kurudi kwenye system ni fasta tu. Hela ameitengeneza wadau amepata.
 
Tupe update sasa ya moto
 
Tupe update sasa ya moto
Ninachokijua bar imeungua. Kwa zisemavyo taarifa mimi sio mkazi wala mwenyeji wa Mwanza. Ila nimewahi fika hapo Cask mara mbili tatu na nina week mbili nimetoka hapo. Kwa biashara yake. Hiyo ni itirafu tu na atarudi tu mitamboni. Aweke weke vimbao tu bar inarudi. Sikuhizi hutumii nguvu nyingi hizi bar.
 
Imegundulika ni hujuma zilifanyika,yaonekana jamaa kweli alichoma club yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…