MWANZA: Serikali yashusha rungu kwa viwanda vya kuchakata Samaki

Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,600
2,000
Waziri wa Mifugo na uvuvi Mhe.Luhaga Mpina amewaamuru wamiliki wa viwanda vitano vya kuchakata minofu ya Samaki vilivyopo Mwanza kulipa faini ya shilingi milioni 180 ndani ya saa 24 baada ya kubainika kupokea na kuchakata Samaki wasioruhusiwa kwa mujibu wa sheria ya uvuvi


Screenshot from 2018-01-04 14-29-36.png

- ITV
 

Gambino

JF-Expert Member
Aug 12, 2014
3,573
2,000
Safi kabisa. Haya ndio tunataka serikali ifanye.

Watu wanapokeaje samaki wadogo na ambao hawaruhusiwi katika viwanda vyao.

Hii itadiscourage uvuvi wa samaki ambao hawaruhusiwi kuvuliwa kisheria.

Safi sana waziri.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom