EMMYGUY
JF-Expert Member
- Aug 6, 2015
- 11,115
- 25,414
Karibu sana mkuu!Hahaa nimeishia hapo mkuu , naendelea kujifunza
Karibu sana mkuu!Hahaa nimeishia hapo mkuu , naendelea kujifunza
Hawa bado wanapendana, nimegundua hiloUongo!!! kiroho kinaruka hapo kipo kwa sisy Joh

dada si unanijua lkn? Kantry muongo me pesa napenda, sema yeye ana vichenchi za kunihonga hana


pesa hupendi banaWanazuga tu hapa, kwanza muda huu wamekumbatiana uko 😂😂😂Hawa bado wanapendana, nimegundua hilo![]()
Sema kweli? 😂😂😂pesa hupendi bana
Nampenda sana huyo hakuna mfanoCountrywide umempa Nini mdogo wangu?
Utakuja kupigwaPole shosti unauguza tena?
Atapona Mungu ni mwema, Ngosha taarifa umempa?



Hupendi bana, humu unawajaza upepo wengine wagombane tu na wapenzi waoSema kweli?![]()



Hilo nimegundua, kila mtu bado anamhitaji mwenzieWanazuga tu hapa, kwanza muda huu wamekumbatiana uko![]()

Umenipa nini anakuuliza 🤭Nampenda sana huyo hakuna mfano
🤣🤣🤣 nitapigika vibayaUtakuja kupigwa![]()
😂😂😂 NtakuchapaHupendi bana, humu unawajaza upepo wengine wagombane tu na wapenzi wao![]()
Hao wanajuana 😂😂😂Hilo nimegundua, kila mtu bado anamhitaji mwenzie![]()
Hadi raha yaaniNampenda sana huyo hakuna mfano
Kwani kuwa na tako ni uzuri?Mwanza kuna watu kama malaika sio wakaka tu hata wadadaz kuna pisi za kwenda tako kubwa Afrika mashariki na kati niliona Mwanza, sijasahau bado yule dada hata kuchamba hawezi nina uhakika
Mantiki iko hivi kanda hiyo kuna watu wenye muonekano wa kupitiliza km ni mbaya huko naamini mwenye sura mbaya zaidi atakuwepo weusi tiii wapo kanda hiyo urefu nk mi ndo nikatolea mfano wa hilo tako nililoonaKwani kuwa na tako ni uzuri?
Wakuache mwaya.🤣🤣 wanaume wa jf mnashangaza👌
Kuna watu wananifata hadi pm kunitusi kisa hii thread lol
Mlidhani mie bikira Maria au?
Nishapenda Mimi,hivyo yaani🤣
🤣 🤣 🤣 🤣. Mwanza kuna pisi. Nyingi ni damu ya Kagame, Wahangaza, wahima na nyantuzu.Mwanza kuna watu kama malaika sio wakaka tu hata wadadaz kuna pisi za kwenda tako kubwa Afrika mashariki na kati niliona Mwanza, sijasahau bado yule dada hata kuchamba hawezi nina uhakika
I like you girl. Umeiweka vizuri.We mbona unaniombea mabaya
Nimekukosea nn?
Baba watoto wangu tunajuana wenyewe tunaishije