Iceberg9
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 26,876
- 51,673
Hahaa siku akidundwa ndiyo ataelewa
Hakuna haja ya kupiga mtoto wa mtu wengine spana mkononi, utaua bure unamuweka kwenye ignorelist

Hahaa siku akidundwa ndiyo ataelewa

Hamna huyu itakuwa kapitiwa na usingizi hotelini. Chezea kukojozwa wewe



Makubwa laahulah!! Yani dada angu ukampe mshamba?!! Toka lini kaanza kufuga ving’asti?Unajua jana wakati nachat na yule mdogo wangu humu, nilivyomuambia atulie nitamsaaidia nilikua nafikiria kumuweka hapo kwa joannah, kumbe joanah tayari ana mtu![]()
Nakupa maua yako uyanuseEndelea
Nakuzoom tu

Content yote muhimu inayosubiliwa ipo hapo 🤣🤣🤣🤣hii ndio sehemu unaipenda, hapo unasubiri story kwa hamu zote
Ushindwe kunipa maua sio yangu 😂😂😂Nakupa maua yako uyanuse![]()
Kuna jamaa yangu schoolmate, kasumbuliwa sana na maslay queen. Hapo naamini atatuliaJamani!!! Kantry udalali umeanza lini?![]()
Umri ni namba tuMakubwa laahulah!! Yani dada angu ukampe mshamba?!! Toka lini kaanza kufuga ving’asti?
Hebu mtake radhi Sisy Joh sio hadhi ya mshamba kabisaaa!!!
Huyo mshamba hata wanawake hajawajua vizuri, huyo asubiri first year hapo MUST ndio awe nao humu jf tumejaa mashangazi tupu, wengine wanamzaa huku wanapiga deki![]()
Upwiru umekataaa sasa hakuna kitu hapa umeweza na kuingia jfKwasie tukiofundwa hatusemagi ya chumbani
Ila kiufupi Yuko njema
Mashine nzuri,safi imenyooka na kushiba
Anajua kupiga Kik na anakojoza kwelikweli![]()


Kashakupiga chengaContent yote muhimu inayosubiliwa ipo hapo![]()

Sema wewe usianze kumsingizia schoolmate wako 😂😂😂😂Kuna jamaa yangu schoolmate, kasumbuliwa sana na maslay queen. Hapo naamini atatulia
Mchukue bibi fai basi 😂😂😂Umri ni namba tu
Kanipa kidogo nahisi sababu ya uchovu aliochoshwa na Ngosha 😂😂😂Kashakupiga chenga![]()
Pole sana, pumzikaSema wewe usianze kumsingizia schoolmate wako
Afu nimechoka mtu wangu macho yanarembua had sio powa
Ushaliwa kweli wewe😂Tushamaliza vya mchana🤣🤣
Tunajiandaa kwenda malaika👌
Mkeo mbea na mzushi sana ananisingizia kila wakati😂Huyo glenn alikua na joanah? Daah nilikua sijui hii