We ulikuwa wapi siku zote hizo.
Acha usaidiwe!
We ulikuwa wapi siku zote hizo.
Acha usaidiwe!
Hahahah.....we shika adabu yako.
Alikua ukweni dear!!!
Naunga mkono hoja yako shemeji Kipipi, nasimama na kugonga meza kuonesha msisitizo! Mwambie kabisa huyo C6 harusi mbili zilimshinda fisi. COPY: charminglady.
mhhh niliwamiss charminglady na Elizabeth Dominic , afu nasikia kuna dereva wa daladala la msuto Nicas Mtei anahonga faranga tu, angalia sana mwenye mji nimerudi, yasije kukupata yaliyo mpata Erickb52 kwa pupa zake
Ukweni kiaje bila mkewe??
Ingekuwa safari ya kwenda na kurudi hapo sawa.
Sasa siku zote hizo kweli.....ni uzembe kabisa!!
Heko zimwendee dereva kwa kumjali shemejie!
hujatoka tu kvcc, maana nangoja iyo simu hata hupigi
ushafika kwa mamaa Liz?
hujatoka tu kvcc, maana nangoja iyo simu hata hupigi