Mwanza: Mwalimu Mkuu ahukumiwa kifungo cha miezi 12 jela kwa kuomba rushwa ya ngono

Influenza

JF-Expert Member
Jul 1, 2018
1,445
3,403
Mahakama ya Wilaya ya Ilemela jijini Mwanza, imemhukumu mwalimu mkuu wa Shule ya Msingi Jabal Hirah, Mwatanda Omari (37) kifungo cha miezi 12 jela kwa kosa la kuomba rushwa ya ngono.

Taarifa iliyotolewa leo Jumatano Mei 15, 2019 na mkuu wa Takukuru mkoa wa Mwanza, Emmanuel Stenga imedai kuwa hukumu hiyo imetolewa leo na Hakimu Mkazi wa manispaa ya halmashauri ya wilaya ya Ilemela, Abesizya Kalegeya baada ya kuridhishwa na ushahidi uliotolewa mahakamani hapo.

Awali upande wa Jamhuri ukiongozwa na mwanasheria wa Takukuru, Placidia Rugalema umedai kuwa mwalimu huyo alitenda kosa hilo Machi 9, 2017 kwa kumuomba ngono mzazi wa mwanafunzi aliyekuwa anaomba uhamisho wa mtoto wake kutoka Mwanza kwenda Dar es Salaam.

Mwalimu mkuu huyo ambaye ndiye mwenye mamlaka ya kujaza fomu ya uhamisho alitaka apewe ngono ndipo aweze kujaza fomu hiyo kinyume na kifungu cha 25 cha Sheria ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa namba 11/2007.

Mshtakiwa kwa upande wake aliiomba mahakama imsamehe kwa kuwa hakutenda kosa hilo kwa kukusudia, hata hivyo mahakama ilimpa adhabu ya kwenda jela miezi 12 au kulipa faini ya Sh2.5 milioni ambapo alikosa fedha hizo na kwenda jela.
 
Juzi tu kuna mwalimu kamuomba binti Fulani alkuwa anaomba mdogo wake apate nafasi ya kusoma memkwa,kamwambia atoe elfu 30 au penzi
 
Mahakama ya Wilaya ya Ilemela jijini Mwanza, imemhukumu mwalimu mkuu wa Shule ya Msingi Jabal Hirah, Mwatanda Omari (37) kifungo cha miezi 12 jela kwa kosa la kuomba rushwa ya ngono.

Taarifa iliyotolewa leo Jumatano Mei 15, 2019 na mkuu wa Takukuru mkoa wa Mwanza, Emmanuel Stenga imedai kuwa hukumu hiyo imetolewa leo na Hakimu Mkazi wa manispaa ya halmashauri ya wilaya ya Ilemela, Abesizya Kalegeya baada ya kuridhishwa na ushahidi uliotolewa mahakamani hapo.

Awali upande wa Jamhuri ukiongozwa na mwanasheria wa Takukuru, Placidia Rugalema umedai kuwa mwalimu huyo alitenda kosa hilo Machi 9, 2017 kwa kumuomba ngono mzazi wa mwanafunzi aliyekuwa anaomba uhamisho wa mtoto wake kutoka Mwanza kwenda Dar es Salaam.

Mwalimu mkuu huyo ambaye ndiye mwenye mamlaka ya kujaza fomu ya uhamisho alitaka apewe ngono ndipo aweze kujaza fomu hiyo kinyume na kifungu cha 25 cha Sheria ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa namba 11/2007.

Mshtakiwa kwa upande wake aliiomba mahakama imsamehe kwa kuwa hakutenda kosa hilo kwa kukusudia, hata hivyo mahakama ilimpa adhabu ya kwenda jela miezi 12 au kulipa faini ya Sh2.5 milioni ambapo alikosa fedha hizo na kwenda jela.

Mwalimu kakose 2.5m kashindwa ata kubeti ? jaman sasa huyu mwalimu mkuu gani hana connection ya 2.5m tu ? Alafu mwalimu mkuu ? Jaman tuwe makin bongo kuna njaa tena kali sana, Alafu lilivyokuwa jinga likitoka utasikia ndio mzee, Pumbavu kabisa, halijui hata kutongoza linalazimisha penz..
 
Dah nami nimewaza kama wewe .
 
Mahakama ya Wilaya ya Ilemela jijini Mwanza, imemhukumu mwalimu mkuu wa Shule ya Msingi Jabal Hirah, Mwatanda Omari (37) kifungo cha miezi 12 jela kwa kosa la kuomba rushwa ya ngono.

Taarifa iliyotolewa leo Jumatano Mei 15, 2019 na mkuu wa Takukuru mkoa wa Mwanza, Emmanuel Stenga imedai kuwa hukumu hiyo imetolewa leo na Hakimu Mkazi wa manispaa ya halmashauri ya wilaya ya Ilemela, Abesizya Kalegeya baada ya kuridhishwa na ushahidi uliotolewa mahakamani hapo.

Awali upande wa Jamhuri ukiongozwa na mwanasheria wa Takukuru, Placidia Rugalema umedai kuwa mwalimu huyo alitenda kosa hilo Machi 9, 2017 kwa kumuomba ngono mzazi wa mwanafunzi aliyekuwa anaomba uhamisho wa mtoto wake kutoka Mwanza kwenda Dar es Salaam.

Mwalimu mkuu huyo ambaye ndiye mwenye mamlaka ya kujaza fomu ya uhamisho alitaka apewe ngono ndipo aweze kujaza fomu hiyo kinyume na kifungu cha 25 cha Sheria ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa namba 11/2007.

Mshtakiwa kwa upande wake aliiomba mahakama imsamehe kwa kuwa hakutenda kosa hilo kwa kukusudia, hata hivyo mahakama ilimpa adhabu ya kwenda jela miezi 12 au kulipa faini ya Sh2.5 milioni ambapo alikosa fedha hizo na kwenda jela.

Nilataka nishangae asiwe kafir, kufuata nyayo za mtume wake kubaka wake za watu na vitoto vidogo. Akatwe tu dushelele lake.
 
Yale yaleeeeee, upuuzi aliokuwa anaufanya mtume Mohammad na vijana wake sasa wanamuiga.
 
Duh hatari Yani unaomba ngono ndo utoe uhamisho dah Mzee baba umebugi kishenzi Yani wanawake wamejaaa tele kila Kona unaforce love Mungu akupunguzie hisia za kijinga hizo
 
Nilataka nishangae asiwe kafir, kufuata nyayo za mtume wake kubaka wake za watu na vitoto vidogo. Akatwe tu dushelele lake.
[/QUOTE
Mimi sio muislamu kwa comment yako unakwaza wengine tujitahidi kuheshimu dini za wengine kuna watu wanamajina yanayopendelewa na waislam lakini sio waislam so generalizations sio vizuri mkuu
 
Back
Top Bottom