Mwanza: Mwalimu adaiwa kuwa na mahusiano na Wanafunzi 3 huku akilala na wawili kwa wakati mmoja kitandani

Huna akili we nguchiro, kwenye hii ishu mwalimu kashikwa live anatafuna? Kama ameshikwa live ndio hayo unayosema yanahitajika. Hapa dk atathibitisha kama binti alishaingiliwa au la, sio kukuta manii
We bwege
Huna akili we nguchiro, kwenye hii ishu mwalimu kashikwa live anatafuna? Kama ameshikwa live ndio hayo unayosema yanahitajika. Hapa dk atathibitisha kama binti alishaingiliwa au la, sio kukuta manii
Umetumwa ?kinachokufanya unitukane ni nini?Sikujui hunijui Acha ushamba!
 
Mkuu wa wilaya ya Magu mkoani Mwanza, Salum Kalii, ameagiza Mwalimu Martin Mambosasa, wa shule ya msingi Ilungu anayetuhumiwa kuwadhalilisha kingono na kuwafanyia michezo michafu wanafunzi hata wawili kwenye kitanda kimoja kwa muda wa miaka saba kuondolewa wilayani humo.

Agizo hilo amelitoa kwenye kongamano la kuweka mikakati ya kukabiliana na ongezeko la vitendo vya ukatili dhidi ya wanawake na watoto, mimba na ndoa za umri mdogo, utoro kwa wanafunzi ili kuongeza ufaulu na ndipo alipotoa maelekezo hayo.

"Kesi ambazo tulizibaini ikiwepo Mwalimu mmoja anayeitwa Mambosasa tulimkamata akiwa na mahusiano na wanafunzi zaidi ya watatu, na wakati mwingine alikuwa anawalaza kwenye kitanda kimoja wote wawili na kuwafanyia mambo ya ajabu sana, nimesema mimi simtaki kwenye wilaya yangu" amesema DC Kalii.


Muungwana
Hao wanafunzi miaka 7 yote wanafurahia huo ushenzi nao wachunguzwe, kwani anawabaka miaka yote hiyo?
 
Kwahiyo huyo DC anashindana na mahakama? Kwanini asikate rufaa, kuna jambo la binafsi linafukuta chini chini? Kumbe mamlaka hayo ya kufukuza mtu kwenye uso wa nchi anayoitawala kwa niaba ya rais, kayapata wapi? Huyo DC asaidiwe kazi!
Anaweza akawa hayuko sahihi kisheria, lakini pengine yuko sahihi kibinadamu, ila sina uhakika. Tuchukulia mfano, nikikataa kukurudishia pesa yako uliyonikopesha bila maandishi na tukiwa wawili tu, ukienda mahakarmani kushtaki ili nikurudishie, the chances ni kwamba nitakushinda kisheria, ila kibinadamu mshindi ni wewe. Wakati mwingine tuwe tunazitetea sheria kwa kutanguliza ubinadamu kwanza. Ubinadamu utangulie kwanza halafu sheria ndiyo ifuate
 
Back
Top Bottom