Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 4,783
- 14,975
WanaJF,
Mada hii itakuwa na 'Updates' za Matukio kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Urais, Ubunge na Udiwani 2025 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Mwanza. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kuweka.Mkoa wa Mwanza ni moja ya mikoa muhimu nchini Tanzania, ukiwa katikati ya Kanda ya Ziwa na ukipakana na Ziwa Victoria. Ni mkoa wa pili kwa idadi ya watu baada ya Dar es Salaam na ni kitovu cha biashara, usafiri, na uchumi wa Kanda ya Ziwa.
MUHTASARI WA MAENEO YA UTAWALA, MKOA WA MWANZA
Katika muhtasari wa maeneo ya utawala, mkoa huu una halmashauri ambazo zimegawanyika katika mamlaka za miji na wilaya.
Idadi ya Watu
Matokeo ya Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka 2022 yanaonesha kuwa na idadi ya watu katika Mkoa wa Mwanza ni 3,699,872; wanaume 1,802,183 na wanawake 1,897,689 ikiwa na walaya 8.Idadi ya Majimbo ya Uchaguzi
Mwanza ina jumla ya majimbo 9 ya uchaguzi:- Jimbo la Nyamagana
- Jimbo la Ilemela
- Jimbo la Magu
- Jimbo la Misungwi
- Jimbo la Kwimba
- Jimbo la Sengerema
- Jimbo la Buchosa
- Jimbo la Ukerewe
- Jimbo la Sumve
Katika Uchaguzi Mkuu wa 2020, Mkoa wa Mwanza Chama Cha Mapinduzi (CCM) kilifanikiwa kushinda kwa wingi katika ngazi zote.
Katika uchaguzi wa rais, Hayati John Magufuli wa CCM alipata kura nyingi zaidi mkoani Mwanza, huku wagombea wa upinzani wakipata kura chache kwa ujumla.
Kwa upande wa ubunge, CCM ilishinda majimbo yote ya mkoa huo, na mgombea mmoja alishinda bila kupingwa katika jimbo la Misungwi.
Kwa ngazi ya udiwani, CCM ilipata viti 189 kati ya kata 191 zilizopo mkoani Mwanza, huku kata mbili tu zikichukuliwa na CHADEMA katika jimbo la Sumve
Updates
January
February
- Pre GE2025 - Mzee Wasira apokelewa rasmi Mwanza, ateta na kamati ya siasa ya mkoa
- Pre GE2025 - Mzee Wasira: Hakuna anayeweza kuahirisha uchaguzi mkuu, watanzania wajiandae
- Pre GE2025 - Mwenyekiti BAVICHA Mwanza: Uchaguzi ukiwa huru, CHADEMA tunachukua nchi
- Pre GE2025 - Baba Levo atangaza kuzunguka nchi nzima kukagua miradi ya Samia kwenye kampeni ya "Mama Hana Deni". CCM ndo mmeishiwa kiasi hiki?
- Pre GE2025 - Video: Innocent Bashungwa naye atinga mtaani kula kwenye mgahawa pamoja na wananchi. Tunamshukuru Rais Samia!
- Pre GE2025 - Mwanza: Katibu wa UVCCM Sengerema aonya makada wa CCM ambao wameanza kuhujumu mchakato wa kura za maoni ndani ya CCM
- Pre GE2025 - CHADEMA Mwanza kuandamana kesho Februari 19, 2025 hadi ofisi ya Mkuu wa Mkoa kupinga mauaji na utekaji wa viongozi wao
- Pre GE2025 - RC Mtanda azungumzia suala la Katibu wa BAVICHA- Mwanza kupotea, asema serikali haina lengo la kumteka yeyote yule
- Pre GE2025 - Amani Manengelo, Katibu wa BAVICHA Mkoa wa Mwanza, ameripotiwa kutekwa na kupotea tangu tarehe 14.02.2025 huko Misungwi
- Pre GE2025 - Maandamano ya CHADEMA Mwanza kupinga kutoweka kwa Katibu wa BAVICHA yapigwa marufuku
- Pre GE2025 - CHADEMA, RC Mwanza na Polisi wajadili madai ya kutekwa kwa Katibu wa BAVICHA, Watatu wakamatwa
- Pre GE2025 - Eric Shigongo: Miaka mitatu ya Rais Samia Buchosa imeendelea sana
- Pre GE2025 - Ilemela Mwanza: Vikundi 60 vinatarajia kunufaika na mkopo wa Shilingi bilioni 1.13
- Pre GE2025 - Sekretarieti ya CCM mkoa yawataka Wazee wilaya ya Missenyi kuchagua viongozi wanaokubalika
- Pre GE2025 - UVCCM Mwanza waunga mkono NETO, Waitaka Serikali Itoe Ajira
- Pre GE2025 - Shigongo atoa milioni 10 kukamilisha ujenzi wa Zahanati uliosimama kwa miaka 15 Buchosa
- Pre GE2025 - Geita: Erick Shigongo atoa msaada wa vifaa vya michezo
- Pre GE2025 - Shamira akabidhi kompyuta na printa kwa UVCCM Mkoa wa Shinyanga
- Pre GE2025 - Shigongo: Tanzania inaizidi pesa Kenya, Uganda na Rwanda. Rais Samia ameurejesha uchumi wetu ulipokuwa
- Pre GE2025 - Shigongo: Tanzania inaizidi pesa Kenya, Uganda na Rwanda. Rais Samia ameurejesha uchumi wetu ulipokuwa
- Pre GE2025 - Kadogoa: SGR ikikamilika Mwanza kuwa kitovu cha biashara
- Pre GE2025 - Ujenzi wa daraja la Magufuli (Kigongo-Busisi) lenye thamani ya bilioni 610, umefikia asilimia 97. Magari kuanza kupita Aprili 2025
- Pre GE2025 - Katibu wa CCM Mwanza: Acheni tabia ya kuwa madalali wa siasa badala ya kukitumikia chama kwa uaminifu
- Pre GE2025 - Omari Mtuwa: Viongozi CCM acheni kuwa madalali wa siasa
- Pre GE2025 - Shigongo: Tunajenga feri yenye uwezo wa kubeba abiria 800 Kisiwa cha Kome kilichopo Buchosa, Sengerema
- Pre GE2025 - Kamati Bunge ya Uwekezaji Mitaji ya Umma yaonesha kuwa na mashaka kukamilika kwa wakati mradi wa bandari ya Mwanza
- Pre GE2025 - Generation Samia: NEST itatengeneza mamilionea Mwanza Machi 29
- Pre GE2025 - RC wa Mwanza Said Mtanda: Ambao hamkujiandikisha kwenye daftari la kupiga kura msijali, zoezi litarudiwa
- Pre GE2025 - Dk Doto Biteko: Tujitokeze ili tuweze kugombea kwa ajili ya kuhudumia nchi yetu
- Pre GE2025 - Mjumbe wa Baraza Kuu Wazazi -CCM: Vijana tambueni na kuthamini haki yenu ya kikatiba ya kuchagua na kuchaguliwa
- Pre GE2025 - Eric Shigongo: Siwezi nikajivuna kwamba nimejenga shule, ni Rais Samia ametekeleza
- Pre GE2025 - Katibu wa CCM Wilaya ya Sengerema: Hakuna chama kingine tofauti na CCM kinachoweza kuwapatia wananchi maendeleo
- Pre GE2025 - Tutaona mengi kuuelekea uchaguzi, Mwananchi asimulia alivyosaidiwa matibabu na Shigongo baada ya kuugua miaka nane
- Pre GE2025 - Shigongo: Tupo tayari kupambana na yeyote atakayejaribu kupotosha maendeleo ya Buchosa
- Pre GE2025 - Masanja Kadogosa: Umoja wetu utawezesha uchaguzi waamani na utulivu
- Pre GE2025 - Mwenyekiti NCCR Mageuzi Wilaya ya Misungwi abwaga manyanga na kuhamia ADC
- Pre GE2025 - Viongozi wa NCCR Mageuzi wilaya ya Magu wakibwaga chama na kuhamia ADC
- Pre GE2025 - Eric Shigongo: Mama Samia amekubali kutoa milioni 40 kujenga mradi wa maji Nyehunge
- Pre GE2025 - Katibu wa CCM Sengerema awachana Chadema kuna mgogoro ndani ya chama hicho
- Pre GE2025 - Askari waliofunika sura zao wanadaiwa kumfuatilia John Heche huko Mwanza, yadaiwa wanataka kumkamata
- Pre GE2025 - Heche: Wasiwatishe, CHADEMA haikuanzishwa kutimiza ndoto za Ubunge
- Pre GE2025 - Lema: G-55 wanaondoka kwasababu CHADEMA ni Chama cha Upinzani siyo Chawa
- Pre GE2025 - Waziri Mkuu: Tume Huru ya Uchaguzi imeshatuambia uchaguzi upo, chama kinachotaka kwenda kiende
- Pre GE2025 - Shigongo: Buchosa ijayo itakuwa ya viwanda na utatii
- Pre GE2025 - CPA Makalla: Hakuna mwenye ubavuwa wa kuzuia Uchaguzi Mkuu 2025, awataja Lissu na Heche
- Pre GE2025 - Dkt. Biteko: Milango ya Rais Samia iko wazi, anataka Tanzania moja ya watu wanaopendana na kushirikiana
- Pre GE2025 - Amos Makalla: Wananchi wa Buchosa msimhukumu mbunge wenu kisa ubovu wa barabara
- Pre GE2025 - Salma Kasanzu: Waliohama CHADEMA kwenda CHAUMMA wako kwa ajili ya kupambania matumbo yao, tuwazomee popote
- Pre GE2025 - CHAUMMA yawajibu wanaohoji kwa nini chopa halikufika mkutanoni, wataja changamoto ya vibali na marubani kuchikichia
- Pre GE2025 - Rungwe: Wenzetu ambao hawashiriki uchaguzi hatuwezi kuwalazimisha
- Pre GE2025 - Rungwe asema wao lengo lao ni kuwapambania wananchi wapate chakula (ubwabwa)
- Pre GE2025 - CHAUMMA siyo kwa ubaya ila mnapaswa ku-Move on sasa siyo kila siku kuwatajataja CHADEMA
- Pre GE2025 - CHAUMMA wakosa kibali cha helikopta kutua Mwanza, Mikutano yakwama
- Pre GE2025 - Cosmas Bulala atuhumiwa kuanza kampeni jimbo la Kwimba
- Pre GE2025 - Inadaiwa walimu wote Mwanza watakiwa kufika Airport kumpokea Rais Samia Juni 15, 2025 wakati anafika Mkoani humo kwa ziara
- Pre GE2025 - Dkt Stergomena Tax ashiriki Kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM Wilaya ya Magu
- Pre GE2025 - Trilioni 1.4 Zimeleta Suluhu ya Maji Kanda ya Ziwa. Rais Samia aweka Jiwe la Msingi Mradi wa Maji Simiyu Wa Bilioni 440
- Pre GE2025 - Eric Shigongo ajitolea Mitambo kuboresha barabara Buchosa
- Pre GE2025 - Meneja wa TARURA - Sengerema ampongeza Eric Shigongo kwa kupeleka mitambo maalum ya uchimbaji wa barabara Buchosa
- Pre GE2025 - Eric Shigongo ajitolea Mitambo kuboresha barabara Buchosa
- Pre GE2025 - Eric Shigongo atangaza kuchukua fomu ya ubunge jimbo la Buchosa 28 June, 2025
- Pre GE2025 - Eric Shigongo: Nimekuja na mpango wa madarasa janja kwa lengo la kuwasaidia wanafunzi wa Buchosa kufaulu masomo ya sayansi
- Pre GE2025 - Wasira: CCM itateua wagombea ubunge, sio kuwakata
- Pre GE2025 - Wasira: Tutapendekeza wagombea wanaokubalika na wananchi
- Pre GE2025 - Khadija Liganga (Dida) achukua fomu kuwania ubunge wa viti maalum katika Mkoa wa Mwanza
- Pre GE2025 - Buchosa wakataa pesa za mgombea, 'hatutaki rushwa'
- Pre GE2025 - Kafiti Kafiti, achukua fomu ya kuomba ridhaa ya kugombea Ubunge Jimbo la Ilemela kupitia CCM
- Pre GE2025 - Mbunge wa zamani wa Nyamagana, Lawrence Masha, ajitosa kusaka ridhaa, ubunge Nyamagana
- Pre GE2025 - Wasira: 'No reforms no Election' si hoja ya kisiasa ni kuvunja katiba
- Pre GE2025 - Katibu Mkuu na Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi wakagua maendeleo ya ujenzi wa vivuko vipya vitano vinavyoendelea kujengwa Songoro Mwanza
- Pre GE2025 - Shigongo, atimiza ahadi yake ya kufunga taa za barabarani katika kata 6 jimbo kwake Buchosa
- Pre GE2025 - Halima achukua fomu ubunge wa viti maalumu kundi la wafanyakazi
- Pre GE2025 - Charles Kitwanga naye achukua fomu Jimbo la Misungwi
- Pre GE2025 - Khadija Liganga (Dida) achukua fomu kuwania ubunge wa viti maalum katika Mkoa wa Mwanza
- Pre GE2025 - Eric Shigongo achukua fomu kutetea Ubunge Buchosa kwa mara nyingine
- GE2025 - Mhandisi Emmanuel Kisendi alitaka Jimbo la Magu kupitia CCM
- GE2025 - Wasimamizi wa Uchaguzi Mwanza na Mara Watakiwa Kushirikisha Vyama vya Siasa Kikamilifu
- GE2025 - Eric Shigongo: Nimekuwa na ubunge mgumu sana, sijawahi kufaidika
- GE2025 - Eric Shigongo: Buchosa tulikuwa tunasafiri masaa tisa hadi Mwanza, sina pesa za kugawa mnihukumu kwa matendo yangu
- GE2025 - Mgombea urais UPDP: Nikipewa ridhaa mtoto atasoma darasa la 1–7 masomo ya darasani na la 8–10 ujuzi aliouchagua
- GE2025 - Msukuma: Kocha akifanya vizuri anaongezwa mkataba, Tabasamu amefanya makubwa, mpeni Kura za Heshima
- GE2025 - Shigongo: Kazi ya maendeleo itafanywa Rais Samia, mimi pamoja na ninyi wananchi wa Buchose
- GE2025 - Eric Shigongo: Tunakokwenda ni kuzuri kuliko tulipotoka na tulipo, Hakuna anayetudai
- GE2025 - Ester: Msikubali kutumika chagueni viongozi wa kuwatumikia na sio kuwatumikisha ninyi
- GE2025 - Kweli Rais Samia anastahili tuzo ya Nobel kama anavyopambwa na chawa Eric Shigongo?
- GE2025 - Samia: Mabalozi hakikisheni Wananchi wenu wote walioandikishwa wanapiga Kura
- GE2025 - Samia: Tutupeni kazi tujenge na kulinda Utu wa Mtanzania
- GE2025 - Shigongo: CCM ni chama namba 9 kwa ukubwa duniani
- GE2025 - Shigongo: Hatuwezi kuwa Taifa ambalo mtu ambaye anaisema serikali anaonekana shujaa
- GE2025 - Samia: Kuna watu kazi yao kushusha heshima ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, naomba tuachane nao
- GE2025 - Makonda: Nchi haiendeshwi kwa matamko, inaendeshwa na Katiba; wanaofanya uchochezi wana ‘passport’, hawako nchini
- GE2025 - Shigongo: Hatuwezi kuwa Taifa ambalo mtu ambaye anaisema serikali anaonekana shujaa
- GE2025 - Samia: Tutaheshimisha nchi yetu tukiwa na amani, tukifanya uchaguzi bila matatizo
- GE2025 - Makonda: Kikundi kilichomtukana Magufuli ndio hicho kinamtukana Samia, 'mimi ni size yenu' njooni tupambane
- GE2025 - Damas Kamani: Oktoba 29 ni vita ya uzuri dhidi ya ubaya, vijana tutapambana
- GE2025 - Bashiru: Samia ana uwezo wa kudhibiti hizi RAPSHA za kupangwa
- GE2025 - Paul Makonda: Nimekuja kuwauliza, Kosa la Samia ni lipi mpaka usinyanyuke kwenda kupiga Kura siku ya tarehe 29?!
- GE2025 - Aliyekuwa Katibu Mtendaji wa CHADEMA Mwanza, Boniface Mkoba ajiunga na CCM
- GE2025 - Mkoba wa CHADEMA atambulishwa rasmi kuwa mwanachama wa CCM, asema ''siko tayari kuongoza jeshi la watu walemavu''
- GE2025 - Makonda: Kuna watu wanalipwa hela kwaajili ya kuichafua nchi
- GE2025 - BAKWATA waelekeza Waumini kufunga kuombea Amani kuanzia Oktoba 23 hadi Matokeo ya Uchaguzi
- GE2025 - Itutu: Tunaiomba Serikali itoke hadharani ikemee utekaji
- GE2025 - Agnesta: Kwa miaka kumi Segerea ni kama haikuwa na Mbunge
- GE2025 - Zitto Kabwe: Tukipata wabunge wengi ndani ya bunge tunaenda kushughulika na CCM
- GE2025 - Mkuu wa Mkoa wa Mwanza: Tusikubali kutoa kauli sisi viongozi wa dini ambazo zinaweza kuleta madhara baadaye
- GE2025 - Askofu Charles Sekelwa: Maandamano siku ya kupiga Kura hayana manufaa yoyote
- GE2025 - Lazaro Nyalandu: Tuwakumbushe vijana wetu, waumini wetu, kwamba hakuna tunu muhimu katika Taifa zaidi ya amani
- GE2025 - Askofu Charles Sekelwa: Maandamano siku ya kupiga Kura hayana manufaa yoyote
- GE2025 - SP Raphael Ganchira: Amani inapopotea, waathirika wakuu ni watoto, wanawake, wazee na Watu wenye ulemavu
- GE2025 - DCP Mutafungwa: Tumepokea magari 6 ya kisasa kukabiliana na Wahalifu
Kamati Kuu CCM yatangaza rasmi majina ya watia nia Ubunge 2025
- MKOA WA MWANZA
(i) JIMBO LA ILEMELA
1. Kafiti William KAFITI
2. Nelson Stanley Mesha
3. Dr.Flora Godwin Lauo
4. Tumaini Benjamini Masuka
5. Emmanuel Bulunja Luhemeja
6. Fadhili Hassan Kinyenga
7. Majaliwa Umoja Magonya
8. Willbard Rutaremwa Kilenzi
9. Resper Samwel Ngoga
(ii) JIMBO LA KWIMBA
1. CPA. John Mihayo CHEYO
2. Cosmas Mtesigwa BULALA
3. Emmanuel Daud TAYARI
4. Dr. David Mayala MULONGO
5. Joel Michael MAYUNGA
(iii)JIMBO LA SUMVE
1. Moses Charles BUJAGA
2. Masengwa Shinje BUSIGASOLWE
3. Cuthbert Albert JOSEPH
4. Richard Mchele NTUNDURU
5. Dkt. Hamza Kija MAYENGA
(iv) JIMBO LA MAGU
1. Prof Noah Makula PAULINE
2. Boniventura Destery KISWAGA
3. Prof Edwinus Chrisantus LYAYA
4. Sundi Kulugala MALOMO
5. Dolia Julius SAHANI
6. Daud Emanuel MANENO
(v) JIMBO LA MSUNGWI
1. Alexander Pastory MNYETI
2. Slivery Luboja SALVATORY
3. Mapuli William KAFITI
4. Deusdediti Emmanuel KOMANYA
5. Issa Pauline LUFUNGULO
6. John Mboje Kilangi MALOGOI
(vi) JIMBO LA NYAMAGANA
1. John Fransisco NZILANYINGI
2. Dr Phillip Raphael MAKOYE
3. Stanslaus Shing’oma MABULA
4. Pendo Lawi Costantine
5. Laurence Kego MASHA
6. Erick Shem Gwaje
7. Henry Magege CHOTTA
(vii) JIMBO LA SENGEREMA
1. Tabasam Hamis MWAGAO
2. William Mganga NGELEJA
3. Rachel Nyarusanda BUGINGO
4. Martin Shigongo LUBANGO
5. Omari Sukari NIGURA
6. Joshua Hassan SHIMIYU
7. Wilson Samwel SHIMO
(viii) JIMBO LA BUCHOSA
1. Charles Jonn TIZEBA
2. Eric James SHIGONGO
3. Nandi Mathias JAMES
4. Kelebe Bandoma LUTELI
5. Jacline George MILAZI
6. Leonard Mandago MASAI
(ix) JIMBO LA UKEREWE
1. Dkt. Switbert Zacharia MKAMA
2. Susana Kululetela NUSSU
3. Joseph Michael MKUNDI
4. Dkt. Laurian Salvatory MGANGA
5. Joshua Bituro MANUMBU
6. Leonard Mujola BABILAS
7. Japhet Mtyama KASIRI
ZINGATIA: Mikoa yote ina mada yake ya 'Update' ili kuweka wepesi katika ufuatiliaji.