Mwanza: Majambazi yavamia Amazing View Bar Bwiru

Hi all
Kwa habari za uhakika toka
Amazing view resort pako salama
Na tukio sio la kweli
Aidha amaizing biashara inaendelea kama kawaida
Kama mdau wa amaizing
Nimeongea na mwenye bar/mmiliki pamoja ma manager hakuna tukio kama hilo kwenye bar ya amaizing bwiru-Mwanza
Wateja/wadau wetu waendelee kutupa ushirikiano kama kawaida

Asanteni
 
Ndo nimeamka muda si mrefu nimekuta malalamiko inbox na thread ya jamaa wa amaizing view bar ya bwiru mwanza wakikanusha,nalalamikiwa nimeleta thread ya uongo na uzi wangu siuoni ,kwa kifupi nimeonekana muongo.
* naomba huyo jamaa wa amaizing view aseme kama jana hakukuwa na kurushiana risasi kati ya majambazi na mapolisi,mbona hajasema?
*Nimepata verfication ya tukio leo:Tukio limetokea mita kama 7(seven)mkabala na bar hiyo katika fremu za mwenyekiti wa mtaa pale kituo cha gari la jeshi aitwaye mzee seif
*majambazi yalifika pale kutaka kupora duka la m pesa kwa Joha festo mhaya,hayakufanikiwa akajifungia ndani huku akipiga kelele za kusema mkitaka mniue tu,wakaishia kupora 200,000 baada ya kupiga risasi 3 hewani,yalikuwa manne,wawili wakiwa na bastola,wawili na mapanga
polisi walikuw akatika patrol ya kawaida mitaa ya green plam walivysoikia risasi wakawahi ila majamaa yakajichanganya na raia waliokuwa wankimbia kuingia mtaani kupitia uwanjani nyuma ya press
***TUKIO LIMETOKEA MKABALA NA GETI LA BAR YA AMAIZING NI BARABARA YA MITA KAMA 7 IMEWATENGANISHA,MTU ANAKUNUSHA BILA HATA KUMENTION UWEPO WA TUKIO?
 
Usikute wewe ndiye mvamizi
watu kama nyie mnatia hasira sana,tukio limetokea jana usiku,tuko mita kama 100-200 habari zinasambaa huku chini bar imevamiwa,unaamka asubuhi unakuta ni fremu ya jirani ilivamiwa then anakuja mtu anakanusha kisiasa as if haikurushwa risasi hata moja wakati jana bwiru gari la jeshi had press ilikuwa uwanja wa vita
 
watu kama nyie mnatia hasira sana,tukio limetokea jana usiku,tuko mita kama 100-200 habari zinsamabaa huku chini bar imevamiwa,unaamka asubuhi unakuta ni fremu ya jirani ilivamiwa then anakuja mtu anakanusha kisiasa as if haikurushwa risasi hata moja wakati jana bwiru gari la jeshi had press ilikuwa uwanja wa vita
Poa
 
Naomba huyo jamaa aliyeleta thread ya kukanusha ajiitaye Difo tena kanifata hadi inbox animabie kwa nini jana amaizing view bar walizima mziki ghafla?saa nne na hawakuwasha tena mziki? vipi vilio vya majirani? mbona wanywa power na chibuku wa maganga,kwa mzee ntuzu,wamama wauza mahindi na dagaa/samaki hadi kwa mwanjeshi mstaafu pale walikimbia na kuacha maduka mawazi???????sababu tukio lilkuwa mlangoni kwenu hapo bar,mbona wateja wa bar walikimbia?/?Vipi kilio cha festo johaness kulia na kusema kama vipi niueni pesa sitoi?
 
Unataja hadi watu, kwani wewe jina lako ni nani ili waamini kuwa upo jirani na hiyo bar?
 
poleni sana ila mwanza polisi iingalie kw jicho la tatu. Panatisha
 
Aliyevamiwa ni mwenye kibanda cha voda. Kuwa m 7 mkabala na bar haimaanishi kuvamiwa kwa bar.
 
Aliyevamiwa ni mwenye kibanda cha voda. Kuwa m 7 mkabala na bar haimaanishi kuvamiwa kwa bar.
ndiyo maana nimetoa update,jana tukioko kama mita 100 200 tunatumiwa sms na majirani wanasema ni bar na kuna mtu leo kakanusha kwamba hakukuwa na tukio lolote hadi ule uzi wangu ukatolewa,kwa nini aliyekanusha hakusema 7 mita pembeni kulikuwa na risasi zinarushwa?.maknausho ya kisiasa,mbona wateja wa bar walikimbia na mziki ukazimwa?watu wanaknausha tu wakati jana huku bwiru kulikuwa uwanja wa vita
 
Mkuu kwanin usiache tu yapite mbona vitu vingine simple sana lakini munavikuza ?Humu hata tuzo ya post bora ya mwaka hakuna so ni bora ukalipotezea swala hili.Usije kusababsha uchunguzi uanzie kwako mkuu .Jf ya sasa si kama ya miaka 5 nyuma ,kwa sasa mambo yapo njenje mkuu.
 
mita 7 pembeni ya barabara kwa festo joha risasi zimelia mnasema hakuna tukio? kweli siasa zimetamalaki bongo
Hi all
Kwa habari za uhakika toka
Amazing view resort pako salama
Na tukio sio la kweli
Aidha amaizing biashara inaendelea kama kawaida
Kama mdau wa amaizing
Nimeongea na mwenye bar/mmiliki pamoja ma manager hakuna tukio kama hilo kwenye bar ya amaizing bwiru-Mwanza
Wateja/wadau wetu waendelee kutupa ushirikiano kama kawaida

Asanteni
 
Mkuu kwanin usiache tu yapite mbona vitu vingine simple sana lakini munavikuza ?Humu hata tuzo ya post bora ya mwaka hakuna so ni bora ukalipotezea swala hili.Usije kusababsha uchunguzi uanzie kwako mkuu .Jf ya sasa si kama ya miaka 5 nyuma ,kwa sasa mambo yapo njenje mkuu.
sio mbaya huo uchunguzi uanzie pia kwa nyie mnaobisha hakuna tukio au msiotaka liongelewe
 
Ni hekaheka maeneo ya bwiru vitu vimelia kama nusu saa ,ahueni ya kupost imepatikana sasa hivi

Ni kwamba wazee wa ngwasuma a.k.a wazee wa hapa kazi tu walitua katika ile bar mpya inayohit mwanza maeneo ya bwiru mwanzana kufyatua risasi takribani 30 nyingine zimelia kamaa mabomu,sijui ni majambazi ya kisasa hayo jamani.

Baada ya kama dakika kumi na tano police nao walifika na wamepita karibu na ka crib changu cgha kichovu nikiwaona kwa dirishani lakini boxer ikiwa tayari imekwishalowa na mkojo,cha kushangaza policemen wale walikuwa kwenye defender ya kizamani yenye engine inayotoa mlio wa kichovu imewasha taa,wao wako mbele kama sita wakiwa na bunduki(sijaelewa hiyo tactic sababu walikuwa wamejiexpose mno kwa maono yangu)
Na hiyo ni if kama hayo majambazi yalikuwa yamekimbilia chini ya chuo cha mipango maana ndipo polisi walipokuwa wanelekea hadi nikadhani labda majamaa yalikuwa yamepanga kutoroka na boti ziwani

Sina maelezo kuhusu casualty sababu bar ipo meters 200 toka hapa ghetto na sina mpango wa kutoka nawahi bafuni kufua boxer,Plus inasemekana last week yalifika the same place yakastukiwa sababu machine gun ilionekana imechomoza kwenye bag yalivyotiliwa shaka yakasepa, haijulikani ni wivu wa kibiashara haswa ukichukulia bar hiyo ilivyohit au ni issues personal.

Wasukuma bwana unatamba kabisa umejikojolea mbele za watu. Haha
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom