Diason David
JF-Expert Member
- Aug 2, 2018
- 7,554
- 7,386
Mkuu unataka vituo vya daladala? kuna buhongwa, mkolani, nyegezi stand, mkuyuni, igoma, buzuruga, meko, kishiri, sabasaba, nela, maduka9, ghana, sahara n. k.Wasalamu wakuu Leo nipo maeneo ya Mwanza Mwanza alimarufu Rock city au ukipenda security city
Lengo langu nikuanza mwaka mpya nikifurahia jiji hili la Mwanza kwa wenyeji tupeni vituo muhimu na kwa wageni karibuni sana
Hapana ngoja ni haririMkuu unataka vituo vya daladala? kuna buhongwa, mkolani, nyegezi stand, mkuyuni, igoma, buzuruga, meko, kishiri, sabasaba, nela, maduka9, ghana, sahara n. k.
Nyamhongolo, Malamala, Igoma, Ndama, Kijereshi, Mwatex, National, Nyakato Sokoni, Buzuruga, Sinai, Mabatini, Mlango mmoja, NataMkuu unataka vituo vya daladala? kuna buhongwa, mkolani, nyegezi stand, mkuyuni, igoma, buzuruga, meko, kishiri, sabasaba, nela, maduka9, ghana, sahara n. k.
Kwa daladala uongoNenda Rock beach, usisahau kupiga picha na yale mawe yetu
Ahsante sanaNyamhongolo, Malamala, Igoma, Ndama, Kijereshi, Mwatex, National, Nyakato Sokoni, Buzuruga, Sinai, Mabatini, Mlango mmoja, Nata
Jitahidi sana usifike nyegezi mkuu [emoji23] kitachokupata usije ukasema hukuambiwaWasalamu wakuu Leo nipo maeneo ya Mwanza Mwanza alimarufu Rock city au ukipenda security city
Lengo langu nikuanza mwaka mpya nikifurahia jiji hili la Mwanza kwa wenyeji tupeni vituo na mahala paku jiburudisha na mambo ya kumbukumbu kidogomuhimu na kwa wageni karibuni sana.
Aha kunanini hukoUna pesa ya kutumia tukachafue hali ya hewa maeneo ya Bundesliga nyasaka moja hiyo
Nikuanzia shingapi maana nimeshop vitu maeneo ya lango lango japo wamenikamua bhana!Una pesa ya kutumia tukachafue hali ya hewa maeneo ya Bundesliga nyasaka moja hiyo
Nyegezi sijafika nimeishia kamanga hospital karibu na kituo cha mafuta.Jitahidi sana usifike nyegezi mkuu [emoji23] kitachokupata usije ukasema hukuambiwa
400000Nikuanzia shingapi maana nimeshop vitu maeneo ya lango lango japo wamenikamua bhana!
Karibu mkuu wenzio huku tunapiga maji ya TBLAha kunanini huko
Wapi huko mkuu tufahamianeKaribu mkuu wenzio huku tunapiga maji ya TBL
nenda kale bear weekend car wash...hapo kijiweni,then ukisamaliza nenda kumalija kale fish.......HahahahaNyegezi sijafika nimeishia kamanga hospital karibu na kituo cha mafuta.
mkuu sijaelewa na sentesi hiinenda kale bear weekend car wash...hapo kijiweni,then ukisamaliza nenda kumalija kale fish.......