Mwanza kumewaka | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwanza kumewaka

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by mahololelo, Nov 2, 2011.

 1. m

  mahololelo Member

  #1
  Nov 2, 2011
  Joined: Oct 11, 2011
  Messages: 32
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  jiji la mwanza hapatoshi bunduki mabomu ya machozi yametawala kutokana na vurugu zinazohusishwa na kesi ya waislam na wakristo,maduka yamefungwa mambo hayaendi hapa.wanatakaka mahakama iwakabidhi mtuhumiwa wamuhukumu wao
   
 2. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #2
  Nov 2, 2011
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,800
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 145
  ee kweli TANZANIA kumekucha
   
 3. Jeremiah

  Jeremiah JF-Expert Member

  #3
  Nov 2, 2011
  Joined: Feb 17, 2009
  Messages: 640
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Kazi ipo sijui tutaishia wapi
   
 4. Ngalikihinja

  Ngalikihinja JF-Expert Member

  #4
  Nov 2, 2011
  Joined: Sep 1, 2009
  Messages: 15,599
  Likes Received: 2,834
  Trophy Points: 280
  Kesi zipi hizo za kidini..??
   
 5. Mtumishi Wetu

  Mtumishi Wetu JF-Expert Member

  #5
  Nov 2, 2011
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 4,574
  Likes Received: 259
  Trophy Points: 180
  Huu uchochezi wadini umeletwa na maghamba na serikli yake, matokeo yake ndio hayo!!!!!!!!!!!!! Ehe Mungu tusaidie Tanzania utuepushe na baraa hili!!!!!!!!!
   
 6. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #6
  Nov 2, 2011
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,800
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 145
  chanzo cha vurugu hizo ni ccm
   
 7. Joseph

  Joseph JF-Expert Member

  #7
  Nov 2, 2011
  Joined: Aug 3, 2007
  Messages: 3,522
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  Jamani picha tafadhali
   
 8. lukindo

  lukindo JF-Expert Member

  #8
  Nov 2, 2011
  Joined: Mar 20, 2010
  Messages: 6,973
  Likes Received: 4,103
  Trophy Points: 280
  umechelewa mkuu, ulipaswa kumuomba Mungu mapema awape Watz uwezo wa kutambua viongozi wazuri. Maji tulishayamwaga tena, tuombee isifike kiasi cha kutisha
   
 9. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #9
  Nov 2, 2011
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 10,985
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Hajachelewa Mkuu! Hata sasa MUNGU anaweza.
   
 10. sulphadoxine

  sulphadoxine JF-Expert Member

  #10
  Nov 2, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,265
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Mods unganisheni hizo thridi naona zimeazishwa nyingi sana.
   
 11. Emanuel Makofia

  Emanuel Makofia JF-Expert Member

  #11
  Nov 2, 2011
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 3,835
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Nyoosheni maelezo mbona hamueleweki/
  ANAYETAFUTWA NI MKRISTU AU MUISLAM/ NA KWA NINI???
   
 12. IGWE

  IGWE JF-Expert Member

  #12
  Nov 2, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,690
  Likes Received: 1,125
  Trophy Points: 280
  There you are mkuu....maake bado hatuelewi
   
 13. Sajenti

  Sajenti JF-Expert Member

  #13
  Nov 2, 2011
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 3,675
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  ...Mtuhumiwa ni nani huyo??!!
   
 14. Mmasi

  Mmasi Senior Member

  #14
  Nov 2, 2011
  Joined: Oct 26, 2011
  Messages: 164
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Wakuu mi sipendi kuzunguka sana hawa waislam wanapenda waitawale sana tanzania yetu mara utasikia wanataka mahakama yao (OIC ) kidogo hawataki makanisa yajengwe zanzibar hivi wao ndio wa muhimu sana ktk serikali? Ila si waislam wote haswa hawa wanao jiita wanamsimamo mkali kama JK ataendesha nchi ktk mfumo huo ataifanya Tz iwe Afghanstan.minaona chanzo ni serikali kuwalea hawa jamaa wakiislam wachache.Lakini pia bado wapi wakristo wachache sana ambao wanajitaidi kupalilia hili suala.Yapo masuala mengi yanayochochea mambo haya if u want 2 know them ni2mie kwenye Pm Mmasi.
   
 15. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #15
  Nov 2, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,882
  Likes Received: 189
  Trophy Points: 160
  bado 'network' yangu haisomi kabisa ktk hii kamba. Au jamaa ameiandika akiwa bado na mning'inio
   
Loading...