Mwanza kimya kimya........

EJM_

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2011
Posts
3,836
Reaction score
2,119
Baada ya wiki iliyopita watu kunitolea majicho aka mimacho niliposema nakuja Mwanza, wiki hii nimeamua kuja kimya kimya na ntaondoka kimya kimya kama nilivyoingia................

Mulehaya kinehe lolo...........

Kimya kimya tena in Mwanza...........
 
na wa mwanza watakutafuta kimya, watakuona kimya kimya na mtachat kimya kimya na watakutakia kila la heri kimya kimya
 
Baada ya wiki iliyopita watu kunitolea majicho aka mimacho niliposema nakuja Mwanza, wiki hii nimeamua kuja kimya kimya na ntaondoka kimya kimya kama nilivyoingia................

Mulehaya kinehe lolo...........
Woooh, karibu sana M'Jr... ngoja nimtafute beibe nasty tuje.... BTW umefikia wapi safari hii make last time ulikuwa hueleweki , afu umebeba tembo card au ndo umekuja tena kutupiga mizinga???????????????
 
Last edited by a moderator:
Yeeee mayo! Niwelage ni wapi huko nije naw naw maana nasikia njaa halafu humu nilimo naona mijitu imeinamia computer tu

karibu lunch but uwe tayari kulipia lol............ "hap story tu kula kwako"
 
Woooh, karibu sana M'Jr... ngoja nimtafute beibe nasty tuje.... BTW umefikia wapi safari hii make last time ulikuwa hueleweki , afu umebeba tembo card au ndo umekuja tena kutupiga mizinga???????????????
Hahahahaaa we acha tu nimeuza ng'ombe wangu so niko full wala hata sihitaji Mastercard wala visa coz netembea na kibubu kabisa nimekitoboa kwa chini so natoa tu kwa matumizi yaliyopo.

This time wala sina haja na pa kufikia nilitengeneza mazingira last time so wala usijali mama, [MENTION]chaminglady[/MENTION]
 

wooh hapo sawa.... @sobhuza is no longer my hezbend ur so welcomeeeeeeeeeee beibe nasty upo wapi M'Jr ana mafuba ya kutosha this time... hatulazi damu ati!!!!!
 
Last edited by a moderator:
wooh hapo sawa.... @sobhuza is no longer my hezbend ur so welcomeeeeeeeeeee beibe nasty upo wapi M'Jr ana mafuba ya kutosha this time... hatulazi damu ati!!!!!
Haya sasa last time mi ndio nilikuwa na kazi ya kuwatafuta this time its your turn to find me............Nilisema mimi yule sobhuza hakufai....Lol! Kwisha habari yake
 
Umerudi kimya kimya, vichwa vya samaki a.k.a mapanki yako wapi.
Dah hivyo hata sijaviona wangu, labda mpaka niende Igombe huko au Mwaloni ndio naweza viona labda. Eti [MENTION]chaminglady[/MENTION] mapanki yanapatikana wapi?
 
Mhe, naomba nikukaribishe kwangu.
More contacts details unaweza kuniPm .
 
Haya sasa last time mi ndio nilikuwa na kazi ya kuwatafuta this time its your turn to find me............Nilisema mimi yule sobhuza hakufai....Lol! Kwisha habari yake

worry out,umeona eeh alikuwa anajibaraguza. kasahau kuwa mfa maji haish kutapatapa. kajidai kunipa talaka kumbe ajitia kitanzi. hakujua kuwa nimetoka kwetu nimeaga ati! aliniona wa nini kumbe wenzie wanasema watanipata lini! Vodacom- kazi ni kwako M'Jr . . . ngoja nimsake beibe nasty tuje huko. BTW upo wapi nw
https://www.jamiiforums.com/jf-chit-chat/
 
Last edited by a moderator:
Hahahahaaa sikumbuki lilikuwa tangazo la nini ila lilikuwa na maneno "TUMEKUSIKIA TUMEKUFIKIA" sasa mi nasema hivi "Nimekusikia, Nimekufikia" [MENTION]chaminglady[/MENTION]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…