Kuna maeneo ulipita mida ya usiku ni kama yamehararishwa kwa ajiri ya biashara ya ukahaba (Ngono) na mida ya saa mbili ulipita nyuma ya stand ya Nyegezi iliyopo mwanza utazani kuna shule ya wanafunzi wa kike waliopo bording , sijui kama serikali hailioni hili au ndo kupuuzia.