Mwanza: House girl asepa na mtoto wa bosi

USSR

JF-Expert Member
Jul 15, 2015
9,896
22,667
Kama uko Mwanza na umepotelewa na mtoto aliyeondoka na house girl wahi kituo cha polisi cha Nyegezi mwanza muda huu .

Huyu house girl alikuwa anaondoka na mtoto kuelekea Mbeya kabla hajamakatwa na watu waliomshuku

USSR
 
Back
Top Bottom