Mwanza hii ni aibu

Mkuu toka na bango siku hiyo umwambie mama kabisa
 
Huu unafiki ulianzia shuleni, siku za sherehe kama graduation ndio usafi na mapambo yanafanyika
Siyo shuleni ni nyumbani. Mkisikia baba anakuja ndiyo mnaanza kupanga viti na kuweka mwonekano safi wa sebule na kujifanyisha fanyisha vijikazi visivyo na kichwa wala miguu. Imo kwenye damu hii tabia [emoji16][emoji16]
 
kichekesho zaidi ni Tanesco kufunga bulb za LED za matumizi ya kawaida kwenye nguzo za barabarani anakopitia Mheshimiwa Rais wetu kumhadaa jiji huwa lipo hivyo siku zote[emoji2815][emoji2815][emoji2815][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani jana nimeona Bulbu za kawaida zilivyoning'inizwa kwenye nguzo nikabaki mdomo wazi. Tukisema Mwnza Jiji halina taa za barabarani tunabezwa. Dah hii ni hatari sana.
 
Usitetea ni ukweli kabisa
Makongoro road taa zilikua haziawaki
Kenyata road kuanzia pale stand ya igombe had round about ya ccm kwenda nyerere road wamefunga taa za bulb ambazo zinawaka siku nzima.
Wanafanya maigizo tu hakuna jipya hapo
Hawa wapumbavu wa Halmashauri sijui wanakwama wapi kwenye kulipa bili za umeme afu wakuu wa mikoa wapo

Ni miji mingi Sana Tzn kuna hii tabia ambapo taa haziwaki kila siku ila kuliwa na ziara wanaziwasha huu ni upuuzi.

Hata huku kwetu Sumbawanga kuna taa za two way ya zamani na barabara nyingine za mjini kama barabara ya kwenda mkoani taa zimezimwa,zinawaka za Sola tuu nazo zikiharibika no repair

Unashindwa kuelewa kama Kazi ya hizi taa ni nini sasa ,kama ni mzigo zisiwekwe kabisa tuishi giza.

Dar karibu taa zote huwaka huku kwingine vipi
 
Kawaida yetu sie, usafi ni hadi tusikie kuna mgeni. Dah ni shida kweli....
 
Usitetea ni ukweli kabisa
Makongoro road taa zilikua haziawaki
Kenyata road kuanzia pale stand ya igombe had round about ya ccm kwenda nyerere road wamefunga taa za bulb ambazo zinawaka siku nzima.
Wanafanya maigizo tu hakuna jipya hapo
Vipi kama ni kwajili ya usalama mkuu nasio kuhadaa mtu?
 
Kwanini mnanikumbusha zile ziara za awamu ya nne?
 
Hili ni jambo la kawaida mkuu.
 
Mama mwenyewe atafanya ziara na helkopta huko hapitagi barabarani yule

Hata hivyo mwanza haina hadhi ya jiji ni miongoni mwa majiji ya hovyo kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…