Mwanza City: The Photo Gallery

wanalipwa kama shi ngapi kwa siku kama unafahamu tafadhali ni julishe

Itafatana na kazi utakayo fanya mfano wa vibarua vya kushusha mara nyingi wale watu hawakosi chini ya 10000 kwa siku ..kuna watu wanalaza hadi 50000 kikubwa ni bidii ya kazi na kujichanganya na watu wenye channel ..malipo yanalingana na makubaliano yenu
 

Inachokisema kina ukweli wa asilimia nyingi wengi wanafanya izo kazi wakiwa na uelewa mdogo ,mimi kuna watu na mifano wamefanya kazi za kupakua mizigo na katika maduka na gari magari mbalimbali mwisho wasiku wamejenga na wanaishi na familia

Huwa nikipata bahati ya kwenda mwanza huwa napenda kufika mitaa iyo maana kuna friends wana biashara zao pale unakuta kijana kashinda usiku mzima anapata hadi 60000 ila pombe sasa ndio zinawamaliza na wanaibiana wao kwa wao ukilewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…