Kumbe were Toto LA kisukumaHome sweet home.....
Ushafika mwanza?Kwahio huu mji ndio mnalinganisha na Arusha ? Wasukuma mnatabu kwelikweli.
Sijawahi mkuu napasikia tu . Kuwa milima mingi na ccm kirumba.Ushafika mwanza?
Fika uone ndo utaamini mzeeSijawahi mkuu napasikia tu . Kuwa milima mingi na ccm kirumba.
Hapo mpaka mwakani ngoja nianze kuandaa travelling documents.Fika uone ndo utaamini mzee
Nilijua tu ntakukuta hukuHome sweet home.....