Hahahaa naogopa kivip bwasheeAnadai wewe shemeji ndo nashangaa hapa
Maana wewe nakujua unaogopa sana wanawake
Hahahaa siyo fix mgerasiHahaha umeona upige fix mgerasi
Ni kweli bwashee nataka nikachukue haka katoto ka kisukuma 😄Hahahaa siyo fix mgerasi
Ngoja nikutafasirie
Ngosha - maana yake mwanaume
One- maana yake wangu
Kwahiyo yeye kaandika Ngoshi one yaan kwa kiswahili Mume wangu
Nakumbuka Kuna kidemu kimoja humu ndani kilikuwaga kinanisumbua sana kuwa nikifanyie mpango kwako, maana kilikuwaga kinasema kinakuelewa sanaHahahaa naogopa kivip bwashee
Chukua bashwee usichelewe chelewe weka ndani mtoto ana adabu huyu hakuna mfanoNi kweli bwashee nataka nikachukue haka katoto ka kisukuma 😄
Hapo umepiga kamba mgerasi😄Nakumbuka Kuna kidemu kimoja humu ndani kilikuwaga kinanisumbua sana kuwa nikifanyie mpango kwako, maana kilikuwaga kinasema kinakuelewa sana
Lakin nakumbuka nilipokueleza ulisepa mazima
Nimesahau I'd ya hicho kimchuchu
Sijui walimfanya nini hawa viumbe🫢Anadai wewe shemeji ndo nashangaa hapa
Maana wewe nakujua unaogopa sana wanawake
Mgerasi muhimu lazima apateKaka ananipa maua yangu! Mahali yangu ikitoka atapata ata kamkia tu
Mhmmm hakuna ulipo jidhalilisha ni ego zako tuNifundishe cha kijijini basi, sasa umemtag hapo ili aone navyojidhalilisha sio😏
Itakuwa ni mimi kaka😆Nakumbuka Kuna kidemu kimoja humu ndani kilikuwaga kinanisumbua sana kuwa nikifanyie mpango kwako, maana kilikuwaga kinasema kinakuelewa sana
Lakin nakumbuka nilipokueleza ulisepa mazima
Nimesahau I'd ya hicho kimchuchu
Ego tena! Broken kisukuma hikiMhmmm hakuna ulipo jidhalilisha ni ego zako tu
Mhmmm ego kama ego na weweEgo tena! Broken kisukuma hiki
Ego kwa mpenzi wangu hahhaa never!Mhmmm ego kama ego na wewe
Mimi hapa!Aliye busweru tujuane