Mwanza City: The Photo Gallery

Cha kuchekesh n nchi Tatu za EAC ndo zimeungan kujenga hio headquarters 😂😂 sjui kiongoz wao alikua nan... Jengo la kuish mtu iv nyasak izo si ndo wanaish watu
Hilo jengo kule Nyasaka, bwiru ni nyumba ya mtu.
 
Lake victoria basin Miladi yao iko vizuri isipokuwa upande wa Tanzania tu, HQ ipo kisumu ni bonge la kitu, Uganda nako kuna bonge la dude njoo kwetu sasa utachoka na hapo 51% ya ziwa Victoria ipo Tanzania
Ingekuwa ilo jengo linajengwa Dar, arusha au dodoma ungeona kichuguu ch uhakika
 
Viwanda vya Nyama, Viwanda vya Samaki, Madini, Utalii, Biashara za ndani na nnje ya nchi, Bidhaa za ziwani Bondo za samaki, Dagaa, Vifaa vya uvuvi, Vipuli vya Maboti, Mazao ya Biashara Pamba, Chai, kahawa, Mazao ya chakula Mchele, Mahindi, Ndizi, Maharage, Viazi n.k Makampuni makubwa ya madini GGM, BARRICK, WILLIAM DIAMOND, NYANZAGA, N.K, Makampuni ya Ujenzi NYANZA RD, KASCO, JASCO N.K Makampuni ya vinywaji Coca-Cola, Pepsi, Serengeti Breweries, TBL, n.k Kanda ya Ziwa inakosaje International Airport, Alafu tunaitwa mikoa maskin wakati tumebanwa kwenye soko la ndani Watujengee Nasi International Airport tuyafikie masoko ya Ulaya na Bara Asia.
Hapa umemaliza kila kitu.
 
Wanajamvi habari zenu na Poleni na Majukumu, Leo nimekuja tofauti kidogo hivi mnaionaje kanda yetu kinachozalishwa na tunachorejeshewa na serikali,embu fikiria kutoka mgodi wa GGM ulipo mpaka pale Kakola ni kama 70km migodi miwili mikubwa sana lakini barabara ni vumbi vijiji vya huko maji tabu miundombinu hoi, kutoka kakola mpaka kahama km kama 75 nako Kuna Mgodi mkubwa miaka na miaka ndo juzi wamekumbukwa angalau lami, kutoka kakola mpaka mgodi mpya Nyanzaga ni kama 45 km tu nako hali ni tete sana, nenda shinyanga Almasi inachimbwa toka mkoloni yupo mpaka leo, Nenda Bunda hapo kuona wanyama ni nauli yako tu, Mwambao wa fukwe za ziwa Victoria salale ni kagera, Geita, Mwanza, Mara nafikiri na Simiyu, ilipaswa walau tuwe na mji au jiji moja kubwa la dhahabu kama kwingine wanakoita miji yao mara ya kibiashara, mara ya kitalii ilimladi tu wapate sababu za kupendelea huko, Rudi kwenye jiji letu la Mwanza figisu za wazi wazi yaani zile siasa za kizamani za viongozi kusema uongo ndio ziko huku, Mtu anakwambia soko kuu ni 93% toka December mpaka leo hata zabuni za kugawa vyumba hatujasikia, Limladi lenu la maji butimba limegeuka la kupigia picha maji hawajasambaza popote, Huo uwanja wa ndege ndio unatumika watu kujifua uwezo wao wa kudanganya, barabara zetu sasa nenda tu kisumu hapo mji population ndogo kabisa ila miundombinu babu kubwa, Huwezi kusikia Makao makuu ya Taasisi yoyote ya serikali ipo huku au inajengwa huku, Sijui kujenga chuo kikuu cha serikali hakuna hata tetesi, tunapata tabu cement tunanunua karibu mara mbili ya bei za wenzetu wa kanda zingine ila huwezi kusikia mpango walau wa kujenga kiwanda cha cement kanda ya ziwa, kiufupi wametudamp vibaya mno na ile kwamba ni jiji namba mbili sooni tunaenda kupokwa, je nini kifanyike?
 
IMG-20240326-WA0017.jpg
 
Tarehe 28 ni kesho tunapata Update kamili tuvute subila ila yote kwa yote iwe International Airport tu, Wanangu wa Shy, Mwanza, Kahama, Mara, Bukoba, Tabora wapate shortcut ya kwenda kutaftia maisha mbele huko
 
Tarehe 28 ni kesho tunapata Update kamili tuvute subila ila yote kwa yote iwe International Airport tu, Wanangu wa Shy, Mwanza, Kahama, Mara, Bukoba, Tabora wapate shortcut ya kwenda kutaftia maisha mbele huko
Natamani wajenge jengo jipya na lile godown walimalizie kimtindo, tupate kitu cha uhakika.
 
Natamani wajenge jengo jipya na lile godown walimalizie kimtindo, tupate kitu cha uhakika.
Nilivyosikia lile jengo la zamani litakuwa Super market zen wanajenga jengo lingine lenye hadhi ya kimataifa pia NSSF nao watakua na project yao ya 5 Star hotel japo wazo hili sikulipenda sana maana International Airport huwa zikitanuliwa mara kwa mara kulingana na mahitaji yanavyoongezeka ,Hiyo 5 star wangejenga Igombe huko kuna Beach Plot za kutosha
 
Nilivyosikia lile jengo la zamani litakuwa Super market zen wanajenga jengo lingine lenye hadhi ya kimataifa pia NSSF nao watakua na project yao ya 5 Star hotel japo wazo hili sikulipenda sana maana International Airport huwa zikitanuliwa mara kwa mara kulingana na mahitaji yanavyoongezeka ,Hiyo 5 star wangejenga Igombe huko kuna Beach Plot za kutosha
Mkuu wapo sawa hapo airport karibu na kule kwa biteko, panafaa zaidi ili tupate hotel ya kushindana na malaika beach kwa ukanda huo hakuna kwenda mbali, wakati hapo airport kuna eneo kubwa sana na sio la kuisha leo waliweka kwaajili ya uwekezaji kama huo unataka watu waendelee kulima mpunga ukanda huo.
 
Back
Top Bottom