Mwanza City: The Photo Gallery

Wasogeze ama watoe kabisa maana naona eneo kama ni dogo sana pale,kushoto kumepakana na kamanga medics
 
Nilisema Toka zamani...mradi wa nyegezi utakuwa ni WA hovyo kuliko nyamhongolo ...imagine mtu unashuka kwenye bus unatembea umbali wote huo kwenda kupanda daladala.kwan daladala haziwezi kupita ndani ya stendi .....just imagine huo usumbufu
 
Nilisema Toka zamani...mradi wa nyegezi utakuwa ni WA hovyo kuliko nyamhongolo ...imagine mtu unashuka kwenye bus unatembea umbali wote huo kwenda kupanda daladala.kwan daladala haziwezi kupita ndani ya stendi .....just imagine huo usumbufu
Huu ndio utaratibu mpya mkuu, je daladala hazitaruhusiwa kuingia stendi ya nyegezi?
 
Wanatakiwa wakiamua kujenga stendi wajenge na hizo frame za maduka kuliko kuacha watu wsjijengee kila mtu kwa style yake.
Na tatizo.ndo linaanzia hapa kuwa serikali linawachukulia machinga kama useless..kwani ndani ya majengo ya stendi hawawezi kujenga wing ya machinga ..kuliko kujenga commercial wings wakati hata wapangaji ni wachache Kwa sababu ni gharama..assume umetenga wing ya mabenki manne nyamhongolo....jiulize una uhakika na unawezaje kuzishawishi benk zikawekwa branch zao stendi..banks ni biashara sio siasa...lakin kama wangejenga machinga wings wangepata wapangaji wengi Kwa sababu ndio wadau wakubwa wa stendi kuliko hayo masupermaket
 
Umesema vema kabisa, machinga wing/complex ni kitu kizuri kwenye mastendi na sehemu zenye watu wengi.
 
Umesema vema kabisa, machinga wing/complex ni kitu kizuri kwenye mastendi na sehemu zenye watu wengi.
Tatizo tunajenga stendi Kwa kuigana ... wadau wa stendi tunawaexclude ... stendi ya dodoma Hadi leo haina wapangaji tofauti na mawakala ,na migahawa micahche ,njoo mbezi ni the same .....tunashindwa kuandaa miradi Kwa kutumia participatory frame work ,,,,ndio hizi hasara ....wadau wakubwa wa stendi Africa ni mama ntilie ,machinga ,na wafanya biashara wa kati .....unapotarget banks , supermarket, stendi unakuwa ni kama unapoteza funds ..... however sikatai hata benki zinaweza kupanga lakin lazima tuangalie return ya Mradi ndani ya wakati ...........
Cha kushauri inabidi wananchi waelimike sasa kutoka kuamin kuwa machinga ndio sehemu pekee naweza pata vitu cheap Hadi kuanza kununua supermarket na kufanya miamala ya kibenki
 
Point sana hii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ