Mwanza City: The Photo Gallery

Tatizo kwenye kupata hizo miradi na kwasasa miradi kama ya tactic wameipeleka mbele adi mwezi ya tatu, kwa hizi project tusubiri kudra ya mwenyezi mungu kwa hii serikali yetu ya sasa.
 
Jama mwanza ni kubwa nimezaliwa hapa na mababu zangu na mabibi zangu wote sijawahi kufika kabuhoro zaidi ya kupasikia tu, na maeneo mengine mengi tu nayasikia lakini sijawahi, hivi kabuhoro ipo wapi?nauliza wanazengo
Mimi kunasehemu naskia zinaitwa, sahwa, isebanda, ilalila, kwa kweli sijui hata zipo wapi

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Kumbe tupo wengi mimi kuna masemele, igombe, kanindo, nyamadoke, kabusungu, kayenze, sawah juu, sawa chini, fumagila isebanda, shibula, bulale, lwanhima n.k huwa napasikia tu๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Shibula ndo nipo hapa sahv watu wamejenga sana nyumba zimeanza kufumuka kale kaukijiji kameanza kutoka siku wakifikisha Lami ukijiji unaisha
 
Kumbe tupo wengi mimi kuna masemele, igombe, kanindo, nyamadoke, kabusungu, kayenze, sawah juu, sawa chini, fumagila isebanda, shibula, bulale, lwanhima n.k huwa napasikia tu๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Bulale,nyakagwe,nyangwi,kigoto,nyanembe zipo buhongwa zimepakana watu wamejenga kwelikweli sio mchezo af sahwa ya chini,juu,isebanda,kanindo hzo zipo kama unatokea buhongwa relini watu wamejenga sio mchezo na Soon hayo maeneo yatakuwa na Lami baada ya mrad wa tactics kuanza
 
Kumbe tupo wengi mimi kuna masemele, igombe, kanindo, nyamadoke, kabusungu, kayenze, sawah juu, sawa chini, fumagila isebanda, shibula, bulale, lwanhima n.k huwa napasikia tu๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Fumagila iyo ni kishiri kutoka kishiri centre Hadi fumagila ni km kama 5 watu wamejenga sio mchezo hyo njia inaenda kuungana na barabara ya kisesa usagara karibu na fela
 
Kumbe tupo wengi mimi kuna masemele, igombe, kanindo, nyamadoke, kabusungu, kayenze, sawah juu, sawa chini, fumagila isebanda, shibula, bulale, lwanhima n.k huwa napasikia tu๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Nyamadoke hyo ni maeneo ya buswelu kutoka buswelu centre had nyamadoke ni km kama 4.5 hyo njia ndo inatokea stand ya nyamhongolo nayo ipo kwny mrad wa tactics kwa ilemela
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ