Mwanza City: The Photo Gallery

Kupiga picha nacho ni kipaji hasa maeneo ya mjini ila to be honest projects zipo nyingi za kimya kimya. Mfano mtaa wa karuta Kuna ujenzi wa commercial and residential building na ujenzi wake umechanganya mbaya. Na kila Barabara za mjini huwezi kukosa project mpya. Huko pembeni ndo usiseme panafaa picha za drone.
 
Hyo commercial building ni gorofa ngap
 
Ukipita kwenye ujenzi wowote lazima kiwepo kibao, na kwenye hicho kibao kina Taarifa za mkandarasi, architect, consultant nk.
Hicho kibao ni cha muhimu kupiga picha ukaleta humu.
Tkimuona architect au consultant kama wana Website tutapata mpaka render.
Ila kujisifia floor 10 CBD ni upuuzi
 
Mkuu ni kweli kusimamisha gari na kupiga picha lazima ujitoe ufahamu, pia mbali ya hivyo kuna soo fulani hivi ila lazima tujitaidi tulete picha humu za project au majengo au sehemu yoyote unayoona itafurahisha macho ya wananzengo.
 
Naam mkuu ndicho hicho na Mimi kinanipa tabu vinginevyo ningekuwa nimeleta humu vitu vingi sana.
 
Kwa utafiti wangu hizi modern market kwa wamachinga ni upotezaji wa fedha, ni bora zitengwe barabara maalumu kwa ajili ya shuguli za wamachinga.
Shida wanachafua miji, hata mabanda Yao yanaonekana kama uchafu. Wajengewe tu maeneo mazuri na rafiki kwa ajili ya kufanyia biashara zao
 
Shida wanachafua miji, hata mabanda Yao yanaonekana kama uchafu. Wajengewe tu maeneo mazuri na rafiki kwa ajili ya kufanyia biashara zao
Tatizo mamlaka zetu huwa hazina mpango endelevu wa kudeal na chinga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…