Mwanza City: The Photo Gallery

Hivi niulize ndugu zangu nimekua nikiona mikoa mbali mbali wakizindua majengo ya ofisi za wakuu wa mikoa...
Vipi kwa Mwanza kuna jengo linalojengwa kwa ajili ya ofisi ya Mkuu wa Mkoa au tayari lipo...?
 
Sidhan kama Kuna mpango huo .as long as ofisi iliyopo ni nzuri na imefanyiwa ukarabati
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…