Kalunguine
JF-Expert Member
- Jul 27, 2010
- 2,543
- 134
@Narubongo kumbe wewe ni Mwangaluka au Mwadile? hahahahahh nimekukamata Mwanza kuna maendeleo gani zaidi ya uchawi?asante kwa picha, napapenda sana nyumbani
Thanks mzee, umenikumbusha ofisi yangu ya kwanza kabisa kuajiriwa baada ya kumaliza F4. Lool, worked there for almost six months. Love Mwanza, xoxoxo!!
Squatter?
MziziMkavu uchawi wa usukumani ni kwaajili ya kuleta maendeleo ndio maana watu wanalimishwa mashambani usiku ili kutekeleza sera ya kilimo kwanza. Wachawi wa mlingotini, magomeni,majani mapana, mbegani, kaole, kiromo, kizuiani kazi yao ni kuwapanda watalii vichwani usiku kucha na ndio maana mchana wote huwa wamechokaNarubongo kumbe wewe ni Mwangaluka au Mwadile? hahahahahh nimekukamata Mwanza kuna maendeleo gani zaidi ya uchawi?
@Narubongo umefika huko Bagamoyo mkuu? inaonyesha unakujuwa sana kuliko hata mimi mwenye asili yaa huko ehhh kasheshe kweli. Nakumbuka Mwalimu mmoja wa kichaga alimpiga mtoto mmoja waMziziMkavu uchawi wa usukumani ni kwaajili ya kuleta maendeleo ndio maana watu wanalimishwa mashambani usiku ili kutekeleza sera ya kilimo kwanza. Wachawi wa mlingotini, magomeni,majani mapana, mbegani, kaole, kiromo, kizuiani kazi yao ni kuwapanda watalii vichwani usiku kucha na ndio maana mchana wote huwa wamechoka
Mi siji huko ng'oooo@Narubongo umefika huko Bagamoyo mkuu? inaonyesha unakujuwa sana kuliko hata mimi mwenye asili yaa huko ehhh kasheshe kweli. Nakumbuka Mwalimu mmoja wa kichaga alimpiga mtoto mmoja wa
Mwinyi huko bagamoyo mjini mnamo miaka ya 1980 basi yule mtoto alikwenda kwao nyumbani huku analia, baba yake alimuuliza mwanangu unalia nini? mtoto akajibu Mwalimu wa shule kanipiga basi yule mzee akasema hiyo ndio mwanzo na mwisho hatafundisha tena hapa bagamoyo anapiga watoto wa ma mwinyi. Basi siku ya pili mwalimu yule wa kichaga
alivyokwenda shule kufundisha aliposimama kufundisha alipokuwa amemaliza kufundisha alikuwa anataka kukaa kwenye kiti alikaa kwenye kiti chake na alipokuwa anataka kunyanyuka hakuweza kutoka katika kiti chake alipiga mayowe
kuwaomba walimu wenzake waje kumnasuwa kwenye kiti basi walimu wenzake walipokuja kumnasuwa hawakuweza kumnasuwa ndipo walimu wenzake walipo fanya ushauri wa kumpeleka hospitali. Alipofikishwa hospitali
Walimu wenzake walielezea mkasa wote ulimkuta huyo Mwalimu ndipo Madokta walipo muuliza je aliwahi kufanya kitu gani ? Ndipo yeye mwenyewe Mwalimu alieleza aliyoyafanya huko Bagamoyo ndipo Ma Daktari wakasema aende kwa yule mzazi aliyempiga yule mwanafunzi kuomba msamaha haya ni mambo ya kiswahili ndipo alipokwenda kuomba msamaha
na ndipo kiti kilipo mtoka nakuanzia hapo yule Mwalimu wa kichaga aliomba uhamisho Wizara ya Elimu hakutaka tena kufundisha shule za msingi Bagamoyo huko ndio kwetu Bagamoyo karibu mkuu unakaribishwa.
@Narubongo umefika huko Bagamoyo mkuu? inaonyesha unakujuwa sana kuliko hata mimi mwenye asili yaa huko ehhh kasheshe kweli. Nakumbuka Mwalimu mmoja wa kichaga alimpiga mtoto mmoja