Mwanza City on a major Shopping project

Hiv mlimani city zko mbili au, na hiyo parking unayoisema iko upande gan mwa mliman city, ile parking ya mliman city kwa hii ziko mbili, acha kupotosha naweza kubaliana kwa mbali na mtu aliyejadil kuhusu wakandarasi na wajenzi wa mliman city lakin kwa ukubwa na uzuri hii kitu iko mbali sana.
Karibu mwanza ujionee tofauti acha maneno ya kuambiwa na data mfu.
 
Daah kitu hicho kwa nje tu hpo
 

Attachments

  • 1439113242916.jpg
    52 KB · Views: 379
  • 1439113260668.jpg
    43.8 KB · Views: 355
  • 1439113281933.jpg
    49.3 KB · Views: 334
  • 1439113327715.jpg
    59.9 KB · Views: 329
  • 1439113366771.jpg
    52.2 KB · Views: 345
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…