"nene na humoragah, natenamhayo, nalelya nembe ja kukaranga duhu elelo!!!"
Buswelu, hivyo ndo viwanja vya gofu jk alivyoshauri alipokuwa mapumzikoni mwanza, viko fukwe za luchelele, pia kuna resort ya night support ni us$800ppn tu unaweza tembelea siku moja, kama sikosei tiger wood na wenzie watakuwa hapo mwakani.
Hapo alipopumzika mdosi nafikiri ni kamanga ferry hiyo ni public beach kama ilivyo koko beach, ila ukitupa ovyo chupa la dasani mgambo wa jiji anakomaa nawewe.
Haya nimatunda ya mh.ole njolaay na mh.Kabwe.
Kha umenikumbusha home sana, hasa mitaa ya nyakato sokoni, national. gedeli primary school mpaka Buswelu secondary nilikopandishia vidato vyangu vinne. Nasikia siku hizi imekuwa shule ya serikali.
Nitafurahi kama nitapata picha hizo.
Jiji limekuwa kweli na linapendeza.
Aaahh mwanza inogile kwa kweli.
Bagoshaaa, basumba batale na baanike, banamhala na baniisale, mamihayo matale gete genago, mashikolo mageni gete gete, nembe jenijo jisoga higulya, kwita ndonu nonu kohaya mibula nolo manumbu gete gete...
...mie ningetaka aniwekee picha ya makoroboi, mlango mmoja, kwa mbita, picha ya kwa "ayubu mishkaki wala" pale mitaa ya liberty, sokoni, stendi ya basi, nyamagana, kwa 'geji' pale unapokula pantoni kwenda kamanga, mwaloni kule kilumba na picha moja ya mkara msukuma toroli.
Hii ni kweli, nahisi ni kutokana na kushibana kwa vijana wengi jijini humo!kaumbea kidogo mkuu kibunango: Hivi kwanini mza vijana wote wanaohudhuria kwenye starehe wanajuana to an extent ukinyuti kawekend kamoja watu wanajua umesafiri
He he he...Hii ni kweli, nahisi ni kutokana na kushibana kwa vijana wengi jijini humo!
Mkuu hio hotel ya Moil iliishia wapi?Woh! hiyo picha ya kwanza ni hotel ya nssf, hapa nssf nimewavulia kofia! zamani hapa lilikuwa josho la mbwa, kuna watu waliandamana hadi kwa RC wakipinga kuondolewa kwa josho hilo eti mbwa wao watapata ukurutu.
picha ya tatu ni shopers plaza ya ppf, hili jengo lina car park ya gorofa tano ukitaka kudrive hadi juu sawa au vipi unalipandisha kwa lift maalumu. nyuma yake kuna ka libraly koko, nadhani katafutiwe sehemu nyingine tulivu.
funiko itakuwa hiyo hotel ya moil inayotegemewa kujengwa pale uwanja wa nyamagana. Hotel hii itakuwa na hadhi ya nyota tano na vyumba 300. viwanja vya long tenis, busket ball, budminton, squash na gim. kwa ujumla indoor games zote zitakuwepo. Sio Movenpik kama wewe sio mlevi utaboreka zaidi ya vinywaji hakuna cha ziada.
Hiyo picha ya pili niwafanyakazi wa budege sijui hii kampuni ni ya kinjeketile, angekuwa mwingine angekwisha fukuzwa siku nyingi.
mwanza airport itakuwa international airport sio muda mrefu, ndo itakuwa mwisho wa ATC kwenda mwanza kwani abiria wengi niwafanyabiashara wanaokwenda zao Dubai na hongkong.
Chadema walileta mizinguoMkuu hio hotel ya Moil iliishia wapi?
Aisee,wadumu Makamanda.Chadema walileta mizinguo