Mwanza: Chui ashambulia askari wanne, Wawili walazwa ICU

Mwanza: Chui ashambulia askari wanne, Wawili walazwa ICU

Chui kasimama na wanaume 4 tena askari! Inabidi nicheke tu badala ya kusikitika.

Pumzikeni kwa amani makamanda. Wagonjwa Mungu awafanyie wepesi mpone haraka.
 
Hao ndio wanaume wa mwanza bwana. Paka tu hadi wanalazwa.
Haha wanaume wa mikoani hamna kitu aise. ...wanawaza miguvu tu akili empty watu wa 4 Wana shindwa vipi kumkabili chui 1...tena waweza kukuta Walikuwa na siraha
 
Chui alitaka kubambikiwa kesi akashtukia mchezo.
 
Wanaume wa mikoani kweli wa4 mnamshindwa chui mmoja kweli kabisa ilitakiwa aumie mmoja na chui afe kikatili
 
Hii issue ni ha mwaka 2017 miaka miwili iliyopita nakumbuka enzi hizo hakuna wanaume wa Dar

Chonde chonde nyie mnaosema wanaume wa Dar
 
Back
Top Bottom