Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 78,663
- 167,595
Kaka Chui Ukimaliza Ziara Ya Mwanza Njoo Na hapa Magogoni Ufanye Kazi Yako, Tuna Vipara Na Hatuna Hekima
Aisee!! Huo ni uzembena 1 alikuwa na bunduki, ila chui hajauwawa, katokomea
Hao ndio wanaume wa mwanza bwana. Paka tu hadi wanalazwa.
Walikuwa wanataka kumvua ngozi ama
Ina maana zaman inawekana yalikua makaz ya wanyama wakaliKabangaja ni kule Igombe na ni kweli kuna maeneo bado ni mbuga tupu ila sio kwa kiasi cha kuhifadhi chui asionekane na watu hata mara moja
Ni ile barabara ya airport kwa mbele zaidi
Watakuwa wa kufugwa. Wafuge fisi washindwe chui?Poleni Sana Askari,hv mwanza kuna mbuga ya wanyama au ndo wale chui wa kufugwa.
Na ndio maana ameonekana sasa mkuu kwa sababu ya hiyo population unayosema, pia kumbuka mnyama kama chui yupo active muda wa usiku hivyo ukute alitoka maeneo yake ya asili akajikuta anaishi kwa kujificha ficha huku akisogea kijiji baada ya kijiji mwisho wa siku anajikuta yupo eneo ambalo kujificha inakuwa ngumu kutokana na mazingira. Kuna factor nyingi zinazofanya wanyama waje maeneo ya makazi hasa hawa jamii ya paka mfano Simba, Chui, Mbweha, etc...kuna uwezekano ni mzee na hata uwezo wa kuwinda ukawa umepungua akawa anaishi kwa kuvia mbuzi wa wakazi. Kuhusu kuwa ametokea wapi..... hatuwezi jua maana wanyama wana uwezo wa kusafiri umbali mrefu kwa kusogea kidogo kidogo mpaka anashituia ameingia kijijiniMkuu kwa mazingira ya kabangaja ni ngumu kuishi mnyama kama chui asionekane population ya watu ni Kubwa, na kama hivyo ametokea wapi? Kama ni chui wa watu sawa,
Ameleta taarifa kwa mujibu wa chanzo ambacho ni ITV kinachotakiwa watu wengine yaani mie pamoja na wewe kama kuna mapungufu kuongezea mkuu na sio kuuliza swali ambalo kwa namna moja ama nyingine huenda una jibu lake..na ndio maana habari za JF huwa zinatolewa kwa njia ya uzi / thread na kama kuna comment yenye mashiko Mods huipandisha juu kuinganisha na habari. Hospitali ya Sekou Toure kwa muda mrefu imekuwa hospitali ya mkoa hivyo kama kuna changes zozote wakati mwingine kuna watu wanakuwa hawafahamu hivyo si vibaya kumwaga maarifaWeka facts sawia kwanza: Sekou Toure ni Hospital ya Mkoa ama Ni Hospitali ya Rufaa?
Pili punguza mhemuko: Elezea tukio lilivyoanza, mambo yalivyofanyika na hitimisho sio uaandika generally! Waandishi wenyewe siku hizi hivyo tu!
~tiger
Cheetah ni DUMA mkuu hata muonekano ni tofauti na hao (Leopard na Black panther)~tiger
~leopard
~cheetah
~black panther
wote ni chui ila wanatofautiana,yupi muoga kati yao?
kwahiyo cheetah ndo yule mwenye umbo dogo muonekano wa nyau sio? mi nawafahamu tiger na black panther hayo madude ni hatari sana.Cheetah ni DUMA mkuu hata muonekano ni tofauti na hao (Leopard na Black panther)
Ndiyo, maana hata mwaka juzi pale Mkorani wilaya ya Nyamagana karibu na Nyegezi stendi ya mabasi ya kwenda mikoani mnyama fisi aligongwa na gari akafa barabarani kama kawaida ya watu washirikina walianza kumgobania hakuna kilichobaki.Asante kwa ufafanuzi ingawaje ni ajabu.
Ninakotoka hata nyoka ji adimu sembuse mnyama mkali wa miguu minne.
Inaelekea Mwanza mjini unaweza kujikuta unafukuzwa na nyara ya serikali!
Cheetah kwa haraka haraka unaweza kudhani ni chui ila wanatofautiana kwenye kichwa (sura) na michirizi flani kwenye macho na madoa ya mwilini though kwa ukubwa wa mwili hawana tofauti (wakati chui kwa muonekano ni copy right na paka sema yeye mkubwa)...ila cheetah hana historia ya kujitokeza kwenye makazi ya watu...cheeta huyo chinikwahiyo cheetah ndo yule mwenye umbo dogo muonekano wa nyau sio? mi nawafahamu tiger na black panther hayo madude ni hatari sana.
Ongeza na Jaguar~tiger
~leopard
~cheetah
~black panther
wote ni chui ila wanatofautiana,yupi muoga kati yao?