Mwanza: Chui ashambulia askari wanne, Wawili walazwa ICU

Mwanza: Chui ashambulia askari wanne, Wawili walazwa ICU

View attachment 579976
Askari wanne na raia mmoja wajeruhiwa vibaya kwa kushambuliwa na chui katika kijiji cha Kabangaja kata ya Bugogwa wilaya ya Ilemela mkoani Mwanza.

Majeruhi wawili akiwemo askari wa wanyamapori amelazwa katika kitengo cha uangalizi maalumu ICU katika hospitali ya rufaa ya mkoa wa Mwanza Sekou Toure baada ya kupata majeraha makali kichwani.

Chanzo: ITV
Huku mbona town chui katokea wapi au ametoroka kutoka serengeti?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanaume wa mikoani ni waoga sana, kajitu kana dhuru kwa kunga'ta tu peke yake wanakaogopa mpaka kanaua wanaume wawili tena waliopitia mafunzo ya kijeshi.

_ where ever you are remember me_
 
Chui gani huyo? Au katumwa?

Chui muoga mnoo



Sent using Jamii Forums mobile app
Eti umesemaje??
image-jpeg.336646
 
bugogwa iko vijijini au mwanza mjini. Nataka kujua huyo chui kaibukaje
Bugogwa kwa kuwa ni sehemu ya Ilemela tutaita ni mjini ila kiukweli bado ni kijijini kwenye mwambao wa ziwa Victoria kama unaenda Kayenze (kama ni mwenyeji wa Mwanza)..kuna uwezekano chui akawa anaisha kwenye miamba miamba yenye vichaka
 
Back
Top Bottom