Mwanza: Chui ashambulia askari wanne, Wawili walazwa ICU

Mwanza: Chui ashambulia askari wanne, Wawili walazwa ICU

dubu

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2011
Posts
3,502
Reaction score
3,486
21191889_123509811635474_1568541282827345577_n.jpg

Askari wanne na raia mmoja wajeruhiwa vibaya kwa kushambuliwa na chui katika kijiji cha Kabangaja kata ya Bugogwa wilaya ya Ilemela mkoani Mwanza.

Majeruhi wawili akiwemo askari wa wanyamapori amelazwa katika kitengo cha uangalizi maalumu ICU katika hospitali ya rufaa ya mkoa wa Mwanza Sekou Toure baada ya kupata majeraha makali kichwani.

Chanzo: ITV
 
Pole kwao Mungu awajalie warudi katika afya zao njema.
 
Back
Top Bottom