Mwanza-Bitech Training College Reg NO. VETA/MZA/PR/2015/C/028

Mwanza-Bitech Training College Reg NO. VETA/MZA/PR/2015/C/028

Azoge Ze Blind Baga

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2019
Posts
455
Reaction score
1,729
Mkuu wa Chuo Cha BITECH TRAINING COLLEGE LTD chenye namba za usajili VETA/MZA/PR/2015/C/028 cha jijini Mwanza anawatangazia wahitimu wote wa darasa la 7 ,kidato Cha 4 na 6 mhula Mpya wa masomo utakaoanza tarehe 22/01/2020 katika kozi zifuatazo:-

HOTEL MANAGEMENT LEVEL 2

TOURISM MANAGEMENT LEVEL 2

AIRLINE AND AIRTICKETING MANAGEMENT

ENTREPRENEURSHIP SKILLS


Chuo kinapatikana jijini Mwanza mtaa wa Miti Mirefu

Ada zetu ni nafuu na unalipa kwa awamu 3

Chuo kina wakufunzi wazoefu katika fani ya ufundishaji

Baada ya kuhitimu Chuo kinakusaidia kutafuta ajira

Kwa maelezo zaidi tafadhali wasiliana nasi kwa simu namba 0752894455
WAHI NAFASI NI CHACHE

NYOTE MNAKARIBISHWA
 
Back
Top Bottom