MWANZA: Ajiua kwa kujirusha kutoka ghorofa ya 5 Bugando

MWANZA: Ajiua kwa kujirusha kutoka ghorofa ya 5 Bugando

Hivi mtu unaanzaje kujiua jamani wana roho ngumu sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Mtu huingiwa au hupagawa na roho, au kivuli cha kujiua ; huwa si maamuzi yake. Mtu anaweza kutupiwa Roho au kivuli cha kujiua na akajiua. Kumbuka kuwa Mtu anapojiua huwa si yeye bali ni roho iliyomvagaa, ndiyo inayotekeleza tendo hilo katika mwili usiokwa wa kwake. Kalaga bahho.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tuambie mzee baba nini kilikufanya urudishwe bongo? Maisha yaliendeleaje baada ya wewe kurudi bongo?
Pole sana,hii ndio dunia.
Mkuu niliteseka mno yaani nilikuwa nashindia kahawa na kashata za kuvizia vijiweni na kulala kwenye magari mabovu,nikisema yote hapa unaweza kutoa machozi

Sent from my VFD 301 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom