MWANZA: Ajiua kwa kujirusha kutoka ghorofa ya 5 Bugando

MWANZA: Ajiua kwa kujirusha kutoka ghorofa ya 5 Bugando

Mkuu hizo ni roho kamili za mauti huwavaa watu,hakuna mtu aliyeishi maisha magumu kama mimi baada ya kurudishwa Bongo kutoka Australia lakini sijawahi kuwaza kijiua hadi pale hali yangu ilipoanza kuwa nzuri

Sent from my VFD 301 using JamiiForums mobile app
Mkuu hivi ni wewe yule unayeishi mbezi beach art gallery kwa chini ukielekea magorafa ya NHC?
 
Habari wanaJF,

Nimepata taarufa kuwa Mtu mmoja amejirusha kutoka Ghorofa ya 5 pale Hospitali ya BUGANDO na kufariki hapo hapo.

Tukio hilo limetokea jioni hii, lakini sababu za mtu huyo kujiua hazijajulikana.
kwan milembe imehamishiwa gorofa ya 5 c huwa ipo chin kabxa?
 
Ulikufaje nusu?

Sent using Jamii Forums mobile app
Hujawahi kusikia mtu kaanguka presha na kufa? Basi mimi nilikuwa nasumbuliwa vidonda vya tumbo sugu kuna siku vilipamba moto kwenye daladala hadi presha ikapanda nikakata channel na ndio siku ya kwanza na ya mwisho presha haijanijia tena. Ndio siku nilijua kumbe roho inaweza kuacha mwili kizembe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi mtu unaanzaje kujiua jamani wana roho ngumu sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Binadamu wametofautiana kwenye kuyakabili matatizo. Changamoto nyengine katika maisha ni hatari na ndizo zinazozalisha msongo mkubwa wa mawazo. Msongo wa mawazo ni kitu hatari sana kwa mwanadamu. Kama usipokuwa muwazi kwa watu wako muhimu katika yale ambayo yanayokukabili si ajabu kufanya mambo ya ajabu.

Na hii hali ya kujiua si kwamba inakuja tu kwa mara moja bali ni hali ya muda mrefu. Inafika kipindi moyo wa mtu unakufa kabisa katika changamoto ambayo inayomkabili. Akifikia hatua hiyo mtu anafanya lolote na wengine ndiyo hufikia hatua ya kujiua.

Msongo wa mawazo ni kitu hatari sana kwa mwanadamu.
 
[emoji24][emoji24]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji24][emoji24]

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna mfanyakazi mwenzangu alijiua hivi hivi na yote ni kwa sababu ni depression. Tumeachana vizuri na vizuri anamfahamu mama yangu na mama naye anamfahamu sababu alikuwa ni mtu wangu wa karibu.

Tumesalimiana fresh na akaniambia mpe hi mama. Nipo home nimechill napigiwa simu flani amekufa. Kufika home kwake aisee! Jamaa kajinyonga. Yaani sikuamini kabisa. Yaani kila nikijaribu kutafakari naona.....Mungu amsamehe huko alipo.
 
Marehemu kaniangusha sana. Sijui alikuwa anatafuta kiki? Yani hospitalini kulivyo na madawa mengi hivyo si unakunywa aina 18 za Dawa then unawahi pale chini mochwari bila kubugudhi wengine kwa stress za kuona madamu.

Marehemu umewakosea wengine kwa kuwasababishia traumatic experience. Unastahili tuviboko huko huko ulikoenda.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom