Mwanza: Ahukumiwa kifungo cha maisha kwa kumlawiti binti yake wa miaka tisa

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
5,011
9,879
Mahakama ya wilaya ya Ilemela mkoani Mwanza imemhukumu kifungo cha maisha mwanaume mmoja Anorld Thomas (30) kwa kosa la kumlawiti mtoto wake wa miaka tisa.

Akisoma hukumu hiyo Hakimu mkazi mfawidhi wa mahakama hiyo Bethseida Sevonike amesema kufuatia ushahidi uliotolewa mahakamani hapo mahakama hiyo imejiridhisha pasipo kuwa na shaka na kumtia hatiani Bw. Thomas mkazi wa Kangae B (Mwanza ) kuwa alitenda makosa hayo kwa nyakati tofauti vitendo vilivyomuathiri kiafya mtoto huyo wa kike.

Awali wakili wa serikali Martha Mwadenya katika kesi hiyo nambari Mzn/IR/1736/2021 alisema Bwana huyo Thomas alimuingilia kinyume na maumbile mtoto huyo katika mtaa wa Kangae B jijini Mwanza katika nyumba aliyokuwa akiishi na mtoto huyo huku akimtishia kumuua kwa kisu endapo mtoto huyo angewataarifu watu wengine juu ya tukio hilo huku ushahidi wa daktai ukithibitisha kuwa ni kweli mtoto huo aliingiliwa kinyume na maumbile jambo lililomfanya kuanza kuharibika sehemu ya kutolea haja kubwa.

Baada ya hukumu hiyo mama wa mtoto huyo Bi. Suzan Fumbuka amesema ameipokea kwa furaha hukumu hiyo akisema kuwa ilimuumiza kama mzazi anayetamani kumuona binti yake akitimiza ndoto zake huku akiishukuru Watetezi TV kwa ufuatiliaji na ushirikiano wa karibu hadi kuifikia hukumu hiyo.

Anorld alikamatwa tarehe 31 mwezi Machi mwaka huu (2021) ni baada ya kuwekewa mtego uliofanikisha kumnasa na kufikishwa mahakamani ambako hukumu hiyo imetoka.

Harith Jaha
Watetezi tv Mwanza
 
Dah dunia inaelekea mwisho sio kwa mambo haya.

kijana kabisa hy kufanya ujinga kama huo wakati kuna madada poa walio jichokea na maisha buku mbili tu unapiga utumbo.

Muwahisheni tu awahi akachomwe.
 
'Hili jamaa lipuuzi Sana, yawezekana halina akili timamu'

Inawezekanaje linakosa uchungu na mwanae hata likaamua kumfanyia mtoto ujinga huo?!

Acheni tu likasote huko gerezan
 
Mtu inakuaje mpaka anabaka wakati mbunye zipo kibao zinazagaa wewe ni kuzoa tu,alafu anabaka binti yake tena kwa Mpalange?
 
Hata kama ni ufirauni!mtoto wako mwenyewe!Tena wa miaka 9!hata ungo hakajavunja!

Hivi katoto Kako mwenyewe unakasimamishia pipe!

Kama ni ugwadu!si ukapalamie mijimama kibao inauza kwa mparange
 
Natamani kufahamu mama mzazi wa huyo binti alikuwa wapi siku zote mpaka mtoto anafanyiwa ukatili wa kiwango hicho.

Huyo mpuuzi atakuwa na matatizo ya akili! Siyo bure. Mama mtoto nae atakuwa ni zezeta bila shaka.
 
Yaani ni upuuzi wa hali ya juu kuamini kuwa shetani yupo hali ya kuwa watu wenyewe ndio mashetani.
 
Hizi kesi ngumu sana kuzihukumu...wanawake wamekuwa na roho mbaya kama za wanyama.
Yawezekana ni njama za mwanamke kumpoteza huyo kijana katika dunia kwa sababu za tofauti zao za mahusiano au chuki zao.
Huyo mtoto akikaa na wataalam wa afya za akili anaweza kufunguka vya kutosha anaweza kutoa sumu za kutosha
Inawezekanaje vipi wewe ufurahie mzazi mwenzako kwenda kufia jela.
Wanawake ni mama zetu lakini lakini wanawake wa kileo wamejaaa tamaa za madaraka katika familiia, tamaa za mali na ukatili wa khari ya juu ya wenza wao.
 
Back
Top Bottom