Mwanyika Na Hosea.. Itakuaje??

Kinyambiss

JF-Expert Member
Dec 2, 2007
1,374
1,225
Sasa embu niambieni wana JF, HOSEA na MWANYIKA ambao report imepropose wawajibishwe... ni part of the 3 man team ya kuchunguza BOT and kuprosecute mafisadi wengine. Sasa itawezekana kweli kistaili hiyo???

Na japo hawata badilishwa, can there be imani na Uchunguzi unaoendelea dhidi ya wahujumu wa BOT and them being taken to task?? Inaonekana Saidi Mwema is the only one that is left relatively 'clean'....!!
 

Mugo"The Great"

JF-Expert Member
Oct 7, 2007
263
225
JK itabidi aunde "KAMATI NYINGINE MPYA" kwani mpaka hapa Watanzania wamepoteza Imani kwa HOSEA na MWANYIKA. Hili litashindikana tu iwapo JK ni sehemu ya "MTANDAO" wa UFISADI[/COLOR. Na kama JK anaona maji yamemfika afanye ya Bingu wa Mutharika wa Malawi, yaani a-defect from Sisiemu, hapa wananchi watamuunga mkono.
 

Kinyambiss

JF-Expert Member
Dec 2, 2007
1,374
1,225
Jk is CCM, its all he knows... Aliwahi kusema kuwa yeye anasomea urais... sasa anao, let him be the president.. and not a figure head. Kudefect hawezi lakini anaweza akakinyoosha chama mpaka mkashangaa. IF he wants to, that is another case... kwanza nikummaliza Mkapa, prosecute him... kumfreez account za Uswisi na kumfanya arudishe kadi yake ya CCM.. He has a lot to prove.... kama anania ya kurudisha imani ya Watanzania
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom