Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 137,558
- 272,302
Wakuu natanguliza salamu,
Niko Kyela ila bila kuficha kitu CCM wana hali mbaya mno !
Baada ya kujua uwezo mkubwa wa ushawishi alionao mgombea wa CHADEMA ndugu Mwanyamaki, wamejaza udongo mchafu kwenye barabara zote za mjini ( tena kwa hati ya dharula ) ili kuwalaghai wananchi , ionekane kama vile wamedhamiria kukarabati barabara zilizowashinda kwa karibu miaka 60.
Hata hivyo wananchi wameshtukia ulaghai huo na wameapa kuitosa CCM kama walivyofanya kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa.
Pole Mwakyembe,pole CCM jimbo limekwenda. Mlipewa muda mkauchezea tusilaumiane.