Mwanyamaki aitisha CCM Kyela

Mwanyamaki aitisha CCM Kyela

Kwani huyo Mwanyamaki wako ndio kafanya niini,...?
Bora hata Mwakalinga kawachangamsha na Kyela fm....

nGOJA NIKUELEKEZE VIZURI KIJANA ni kwamba Abraham Mwanyamaki ni mzawa wa kijiji cha ikombe na amesaidia mambo mengi ikiwemo asasi yake ya Pambana Saidia Jamiii kiufupi anafahamika kwa wakubwa na wadogo amechangia sana chama hasa matawi ya hukoo kwenye kata mbalimbali....kifupi tu umjue
 
nGOJA NIKUELEKEZE VIZURI KIJANAt ni kwamba Abraham Mwanyamaki ni mzawa wa kijiji cha ikombe na amesaidia mambo mengi ikiwemo asasi yake ya Pambana Saidia Jamiii kiufupi anafahamika kwa wakubwa na wadogo amechangia sana chama hasa matawi ya hukoo kwenye kata mbalimbali....kifupi tu umjue
mungu akubariki sana .
 
mkuu hebu tutake radhi huwezi kusema akili za wanyakyusa za kushikiwa kisa tu umejibizana vbaya na huyo mmoja..

Hapo umetuchanganya kwahyo n vzr ukafuta kauli yako
Ahahahaaaaa..abandaba ilyijoooo_....
mma_nine ngwitika,..afute injobelo ijo.
 
Jana nilikuwa nawasiliana na wazee wa huko ndio nmeambiwa kuna ushindani lakn wamesema mwakyembe lazma arudi mjengon tena, maana bado hawajaona mtu mwenye ushawishi wa kumzidi mwakyembe,,

walichonambia kuhusu mwanyamaki wanasema hawawezi kuongozwa na mtu ambaye hatambulikani vzr yatajirudia ya mwakipesile ambaye mda wote bungen alikuwa anasinzia..
 
kumbe ule uoga wa ccm ulikuwa wa haki kabisa , mchakato wa kura za maoni cdm kyela , Mh Mwanyamaki ameshinda kwa kishindo kikubwa mno ! hongera mwanyamaki sasa nachukua nafasi hii kukukabidhi rasmi jimbo la kyela , sisi wana kyela tumejiridhisha rasmi kwamba walioshindwa kwa karibu miaka 60 kuiendeleza kyela hawataweza kwa miaka mitano .
 
Jana nilikuwa nawasiliana na wazee wa huko ndio nmeambiwa kuna ushindani lakn wamesema mwakyembe lazma arudi mjengon tena, maana bado hawajaona mtu mwenye ushawishi wa kumzidi mwakyembe,,

walichonambia kuhusu mwanyamaki wanasema hawawezi kuongozwa na mtu ambaye hatambulikani vzr yatajirudia ya mwakipesile ambaye mda wote bungen alikuwa anasinzia..
badala ya kuwasiliana na vijana unawasiliana na wazee !
 
Jana nilikuwa nawasiliana na wazee wa huko ndio nmeambiwa kuna ushindani lakn wamesema mwakyembe lazma arudi mjengon tena, maana bado hawajaona mtu mwenye ushawishi wa kumzidi mwakyembe,,

walichonambia kuhusu mwanyamaki wanasema hawawezi kuongozwa na mtu ambaye hatambulikani vzr yatajirudia ya mwakipesile ambaye mda wote bungen alikuwa anasinzia..

Kuwasiliana na wazee sio uthibitisho wa kwamba Mwakyembe atarudi bungeni tena mkuu,..jiongezee kidogo
 
mkuu vijana walio wengi hawapigi kura wengi wapo vijiwen tu kupiga soga na kula viroba,, haya nayokwambia nmefanya utafiti.
tangu nizaliwe sijawahi kuona utafiti wa dakika 5 .
 
dala ya kuwa malori ya mizigo.
Kuwasiliana na wazee sio uthibitisho wa kwamba Mwakyembe atarudi bungeni tena mkuu,..jiongezee kidogo

wazee wengi bado ni wanaccm , kwahiyo usitegemee majibu tofauti na upande ccm , but they are very few , wengi wametangulia kwa sababu ya jembe la mkono kwa miaka lukuki , sasa sisi tunakuja kwa lengo la kubadilisha hizi power tila kuingia rasmi kwenye kilimo badala ya kuwa malori ya kusomba mizigo kama hivi sasa ili kuzuia vifo vya wazee vinavyosababishwa na jembe la mkono.
 
kwaheri ccm kyela , mamluki mliopandikiza wote chali !
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom