Mwanyamaki aitisha CCM Kyela

Mwanyamaki aitisha CCM Kyela

kwa sasa ni dhahiri hakuna namna yoyote ya kuzuia mabadiliko kyela
 
aende tu mwakyembe kwani hakuna namna nyingine ya kumnusuru na delete ccm
 
Ndikwega sauli kapita

Hakuna mkuu, bado wanagombana mashabiki, wakubwa wao wameshindwa kuamua. Ajabu zaidi yeye kaenda Dar kwenye biashara zake huku kawaacha shabiki zake wakitaka kutoana roho.
Jana usiku kucha yalikuwa yakipigwa mabomu, wa kaskazini mwa jimbo wanamtaka Kasesela wakati wa kusini wanamtaka Saul Mwakafunga.
Patamu hapo, wewe subiria tu hawa Magamba.
 
KYELA is my home, I have faith on the people over there!! They can make change, God be with them!!
 
KYELA is my home, I have faith on the people over there!! They can make change, God be with them!!

abraham mwanyamaki tumemkabidhi rasmi jimbo la kyela , ccm na hata mwakyembe wanafahamu .
 
Hakuna mkuu, bado wanagombana mashabiki, wakubwa wao wameshindwa kuamua. Ajabu zaidi yeye kaenda Dar kwenye biashara zake huku kawaacha shabiki zake wakitaka kutoana roho.
Jana usiku kucha yalikuwa yakipigwa mabomu, wa kaskazini mwa jimbo wanamtaka Kasesela wakati wa kusini wanamtaka Saul Mwakafunga.
Patamu hapo, wewe subiria tu hawa Magamba.
Ha! Ha! Ha! kasesera mzee wa kitengo huku sauli mzee wa mipango , lazima kinuke !
 
Naskia kafunga redio kyela
ni kitendo cha aibu sana kwa mwakyembe kuhujumu redio ya wananchi inayosikika kyela nzima , mundamba , kapamisya , busale , katumbasongwe , ikolo , matema , ngyekye , hivi watu wote wakose redio kwa ajili ya fitna za mwakyembe ! umundu uju akatele fijo , ALILE KAKO .
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom