Mwanume unayajua haya?

Mwanume unayajua haya?

Haki za binadamu zimewapindisha shingo hamjui nafasi yenu kbsa ktk ndoa,badala yake mnataka kuwaongoza wanaume,mkikosea hamuwez kuomba hta msamaha,kujishusha kwenu mnaona kma mnajivua nguo bila kuchutama.
 
Mke ametoka katika ubavu wa mme, hakutoka kwenye unyayo ili adharauliwe na kukandamizwa.
Wala hakutoka katika kichwa ili mwanaume ajisifu eti yeye ana akili sana bali ametoka ubavuni ili akumbatiwe na alindwe.

Ubavu wa kushoto uliokaribu na moyo ili
Apendwe
Aheshimiwe na
Athaminiwe,
Lakini kwa kuwa ubavu umepinda, mke nae amepinda.

Asinyooshwe kwa nguvu atavunjika bali anyooshwe taratibu nae atanyooka.

Hayo tu katika asubuhi ya leo, muwe na siku njema pia amani ya Mungu iwe nanyi.

wenzako haya wahajui wapo wapo tu.i like u.
 
Hawa viumbe ukiwaachia uhuru ni sawa kumchekea nyani........ unavyosema wamepinda ni kweli kabisa wamepinda ka kona za barabara hivyo akili inahitajika kuwaongoza hawa watu maana ni delicate kama yai.....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom